Mapenzi matamu, mapenzi machungu

Mapenzi matamu, mapenzi machungu

cheeter

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
475
Reaction score
155
Wakuu,mimi ni kjna mwenye umri wa miaka 28,nilitokea kumpenda sana msichana wakati nikiwa chuo,udsm. Mapenzi yetu yalikua matamu mno,na ukweli alikua mtam,yanii movable in any style,halafu alikua hachoki...nilimmudu sana sababu pia na mimi fundi.ila ghafla tu,kuna siku nilimpigia simu mida ya jioni,nikitaka kuonana naye akanieleza haiwezekani sababu yupo maeneo ya saloon..kwa bahati mbaya nilipenda kujiridhisha kufika lile eneo alioniambia ili nimwone tuu..wakati huo sina usafiri,kutembea kwangu na mvua ilikua inapga kdogo...katika,kukwekapa madimbwi,madimbwi nikaiona prado tx hizi new model inateleza taratiibu na demu wangu akiwa kama amepagawa alivyoniona..nilibaki nimepigwa butwaa,nilijaribu kumweleza mpita njia kua demu wangu yupo kwenye prado,mimi sina gari nishatombewa...wakuu,naombeni mnisaidie tatizo huwa haswa nn?mbona hawa mademu zetu huwa hawana uvumilivu? Cheki ssa,angeweza kusubiri mi saivi na alteza si angekula bata...
 
Mkuu,we unaeza kua mnyonge wangu,si una demu?@matola
 
Blessed,swala la mke kwa sasa silifikirii...ngoja na mimi nitumie vzur muda huu kula vitu roho inapenda
 
Last edited by a moderator:
MtamaMchungu,sina maneno sasaivi...si haba,na nyavu ambayo nikiinasisha sehem sikos samaki
 
Last edited by a moderator:
Kama gari ndo mapenzi,iwekwe sheria katka katba mpya kuwa mwanaume awe na gari ili aweze kua na mpenzi itasaidia sna wanawake kutokua na tamaa za ajabu
 
Maana yake hukummudu kama ulivyofikiria,


.

mwanamume asifiwi kugegeda bwana wee. unaweza kuwa mgegedaji mzuri kama mzabzab lakini ukaishi onja tuu but she will always go back nd sleep kwenye nyumba ya mwenye pesa
 
kijana gari ni kisu cha kumchinjia demu yoyote yule...the diference is wengine kivitz ndio anavua chupi wengine range rover.
 
MtamaMchungu,sina maneno sasaivi...si haba,na nyavu ambayo nikiinasisha sehem sikos samaki


Sasa unalia lia nini hapa? Kama bint ulimegewa enzi hizo ulipokuwa kapuku.
Kama ilikuuma sana nawe megea wanyonge zaidi yako,kama unataka kujua sababu tu kamuulize aliyekuwa demu wako ndio anajua kwa nini alikumwaga
 
asubiri wakati kuna ambaye anayo tayari tafuta mdhaifu na we kula tu.....mjini mapenzi pesa na si kuvumiliana
 
kijana gari ni kisu cha kumchinjia demu yoyote yule...the diference is wengine kivitz ndio anavua chupi wengine range rover.

hivi kumvua demu chupi ni big dill... kwani wakati unanivua na me sina kuvua yako ngoma drooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom