Mapenzi: Mara real love, mara soulmate, unafiki mtupu!

Mapenzi: Mara real love, mara soulmate, unafiki mtupu!

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,966
Hi

Wana MMU ni bora tuwe wakweli na wawazi kuhusu maisha ya mapenzi ya sasa. Kwa taswira nayopata kwa sasa pesa ni nguzo kubwa kuu iliyowaunga watu wawili.

Pili ni nani mwenye akili ya kupembua mazingira na maisha kwa ujumla ili umgande na mwisho uhuru, pesa, akili, hufanya wawili wapendane sana.

Chomoa pesa hapo utaona maajabu ya karne, usicheze na akili kwanza utaibiwa halafu utaigiziwa, tatu wengine kwao hapana uhuru maisha kuntu balaa anaact anakupenda kumbe ndo chance ya ahueni!

Stand to be corrected.
 
kusema ukweli sijakuelwa kabisaaaa...naomba unifafanulie vizuri. nakuomba tu yani...

mpaka mtu akuambie nakupenda sana mpenzi wangu ,either unapesa,akili,unamfanya awe free kwa malazi au kazi
 
Kupenda ndo kulivyo, hata wewe nikikuuliza kwa nini unapenda chakula fulani utasema kwa sababu kina ladha nzuri, lazma kuwe na sbb ya kukusukuma kupenda kitu/mtu
 
oooh asante...unajuwa mapenzi yana sababu yake...huwezi ukapendwa kama hauna kitu chochote kati ulivyotaja hapo juu au kitu chochote ambacho chamvutia anayekupenda...kwa ufupi hakuna mapenzi ya "nakupenda kama ulivyo" mama yako ndiyo anayeweza kukupenda kama ulivyo...ukiona mtu anakupenda ujuwe kuna kitu kinachomvuta kwako na sio kama ulivyo....

Mapenzi ya kweli yapo sana.

Na mimi ni mmoja wapo niliyebarikiwa kumpata mpenzi wa kweli.
 
Mapenzi ya kweli yapo sana.

Na mimi ni mmoja wapo niliyebarikiwa kumpata mpenzi wa kweli.

hahahahaha mkuu bila hvyo vitatu hapo juu sidhani labda kama dume umewekwa na jike ndichi
 
Yapo sanaaa, kuwa na pesa uone.
 
Ni nine (9) solid years.

Tumekuwa kama mapacha.

Miaka tisa yote hiyo ni uchumba tu?mingi sana kwa uchumba asee, kama mmekua mapacha kwa nini hamuoani?
 
Miaka tisa yote hiyo ni uchumba tu?mingi sana kwa uchumba asee, kama mmekua mapacha kwa nini hamuoani?

Ni tokea yeye akiwa form I mimi nikiwa form IV.

Nabangaiza sehemu nikipata sehemu ya uhakika namuoa faster.
 
Miaka tisa yote hiyo ni uchumba tu?mingi sana kwa uchumba asee, kama mmekua mapacha kwa nini hamuoani?
Nafikiri ameshamaliza mpaka na PhD Dah....sasa hivi atakuwa yupo kitengo ndio Director wa kampuni ya Mahusiano Sugu
 
eti...nakupenda bila sababu

nikamwambia ungekua house girl ungetongozwa na watu wa level ipi

akasema nahisi wangekua house boy kama mimi nilivyo housegirl

nikamuliza tena,kumbe uko na mimi coz niko level flan ivi

akasema apana mi nakupenda da way ulivo!!!

miiiimiii chiamini kama kuna mtu atanipenda bila pulling force never never....

na kwakua naamini ivo,
nmekua kanumba
wapenzi wanao fata status yangu
ndio wateja wakubwa wa maigizo yangu.
 
Back
Top Bottom