Heargy da Best Member Joined Jun 23, 2015 Posts 48 Reaction score 10 Jul 12, 2015 #1 Hivi uzuri wa mwanamke uko wapi? Je, uzuri wa mwanamke ni nini?
A alipofika Member Joined Apr 29, 2015 Posts 41 Reaction score 12 Jul 12, 2015 #2 Anaujua mpendaji tu
naturalhandsome Member Joined Jul 11, 2015 Posts 58 Reaction score 19 Jul 12, 2015 #3 uzuri wa mwanamke ni vile anavyokufanya wew kuwa na furaha juu ya hisia unazopata kutoka kwake kwa mfano..tabasamu inaweza kuwa kitu kinachoweza kukufurahixa ukajikuta unakuwa uzuri wake kwako acording to me jmn
uzuri wa mwanamke ni vile anavyokufanya wew kuwa na furaha juu ya hisia unazopata kutoka kwake kwa mfano..tabasamu inaweza kuwa kitu kinachoweza kukufurahixa ukajikuta unakuwa uzuri wake kwako acording to me jmn
A AudiG7 Senior Member Joined Jun 25, 2015 Posts 164 Reaction score 61 Jul 12, 2015 #4 Unatofauti kati ya mwanamke na mwanamke na anayeweza kuulezea vizuri uzuri huo ni yule aliyempenda mwanamke huyo au wanawake hao. Heargy da Best said: Hivi uzuri wa mwanamke uko wapi? Je, uzuri wa mwanamke ni nini? Click to expand...
Unatofauti kati ya mwanamke na mwanamke na anayeweza kuulezea vizuri uzuri huo ni yule aliyempenda mwanamke huyo au wanawake hao. Heargy da Best said: Hivi uzuri wa mwanamke uko wapi? Je, uzuri wa mwanamke ni nini? Click to expand...
love more than100 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2014 Posts 2,061 Reaction score 715 Jul 12, 2015 #5 Upo pale alipokuchanganya...
E eva_marcel Member Joined Jul 12, 2015 Posts 9 Reaction score 1 Jul 12, 2015 #6 Uko machoni mwa mpendaji
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,107 Reaction score 185,378 Jul 12, 2015 #7 Uzuri wa chochote kipo moyoni mwako mwenyewe.
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Jul 12, 2015 #8 uzuri wa mwanamke swaga bhana......!!!!!!!!!!!!!!
S Sombeti JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 795 Reaction score 177 Jul 12, 2015 #9 Aliependa ndo moyoni mwake ajua kile alichokipenda hasa - na ni ngum hata yeye kuelezea
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jul 12, 2015 #10 uko paleee