Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
hayo ni maamuzi yako binafis
Bora kuwa na MPENZI KIVULI ili ukitemwa huku yule kivuli anakaimu nafasi. Kuwa single si mchezoooo! Unaonekana UMEDOOOODA!!!!!!!!!!
Mmmhh, nahisi kuna mtu
utampiga chini siku sio nyingi, maana hapa ni justification tu
inatafutwa, mwambie tu,
Lateni ni mtaa au? Samahan lkn.
Ni jina la moja ya mitaa home village, Asantesio mtaa ni jina la
ukoo, labda kwa watu wengine linaweza likawa na maana nyingine,
kwenu nyie lina maana gani?
yan hapa mafiga matatu ndo yanapofanyaga kazi!
Bora kuwa na MPENZI KIVULI ili ukitemwa huku yule kivuli anakaimu nafasi. Kuwa single si mchezoooo! Unaonekana UMEDOOOODA!!!!!!!!!!