Hv cku hizi mtt wa kike dili eeee,mi nakumbuka cku ya kwenda kutolewa mahari niliwaambia wazazi wasitake hela nyingi,kweli haijazidi laki mbili,coZ mm sio mbuzi niuzwe,huyo kaka amteme tu,hakuna mapenzi hapo!
Ukioa kwa maskini wanataka watajirkie kwako mie niliambiwa ng'ombe 3 na makorokolo kibao hela ya shangazi, bibi, mama, mablanket, mashuka, jembe, acha kabisa mwanaume zilinitoka kama 2m! Then mwanamke anakuletea ushenzi thubutu yake!