mapenzi mabaya kweli

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,950
Reaction score
2,187
Mungu aliumba dunia.mapenzi tangu na tangu yalishanipiga sasa sina budi nielewe,siwezi kun'gan'gania wala siyo fungu langujapo ni shida ila nitabaki mwenyewe ila nashukuru kwa kuumiza sura yangu ila kweli mimi bado mtotokwa kuumiza kidonda changu na usiku kwa kweli silali mapenzi mabaya
na mbaya zaidi kinachoniumiza zaidi ni maneno maneno kwa ndugu na marafiki
 
andika vizuri uelewe basi....
 
Tafuta Pesa tu Mkuu,hivyo vilio itabaki story tu:A S-confused1:
 

sasa embu nipatie jinsia yako kama ni demu nikutafute nikupe raha maana hayo mambo mimi ninauzoefu nayo takribani miaka mitano alafu nimesomea hivyo jitokeze kama ni demu nikupe pumziko la nafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…