Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepon,
Mwaka mpya na mambo mapya.
Utani pembeni hivi mtu ambaye ana wanawake zaidi ya wawili nje ya ndoa hivi anakuwa ana mapenzi kweli?umeanza kunichokoza si ndio endelea tu ...........muone kwanza haya umeshinda yalikua uzinifu
sasa yote si mapenz au kilichomfanya huyu kimada au unafikiri ni uzinifu au mapenz na wivu mana mtu ukiwa na wivu sio tena uzinifu huo bali uko inlove tayari ujue...........ukisema uzinz hapo ni mjeda ila mm nimesema mapenz mabaya kwa kimada mana wivu ulipitiliza ukazaa hasira na hasira ndio ikazaa mauaji hayo upo mkuu mpaka hapoUtani pembeni hivi mtu ambaye ana wanawake zaidi ya wawili nje ya ndoa hivi anakuwa ana mapenzi kweli?
Hata mwenye wake zaidi ya mmoja lazima atakuwa ana kasoro tu, hawezi kuwapenda hao kwa namna moja.
Sasa hao walikuwa ni wa nje nje tu-na kama wa nje nje penzi liko wapi hapo, mpaka useme mapenzi ni mabaya ungesema uzinifu mbaya hapo sawa.
Usije hata siku moja kufananisha mpenzi na mzinifu...Mpenzi huwa ana stay in love with one man/woman for ever.
4 Y I; Hata bf na gf wanaweza kujita wapenzi kama wana nia ya kuowana, kama niia yao ni kufanya 6 hao watakuwa ni wazinifu tu, hakuna penzi hapo.
1.Alikuwa anamsindikiza NYUMBA NDOGO.
2.HAWARA akamchoma kisu mara mbili.
3.MKEWE anaandaa mazishi.
Hamjambo wapenzi?jamani mkesha wa mwaka mpya bongo ulikuwa na mambo mengi hebu sikieni hii Mjeda kaenda kusalimia kimada chake maeneo ya vingunguti kama kawaida ya wanaume mabazazi kumbe alikuwa anawachanganya mtu na shost yake wote wanafanya kazi sehemu moja,sasa wakati amsindikiza huyo kimada kumbe shost yake akawaona akasubiri jamaa wakati anarudi shost akakodi boda boda na kuanza kumfatilia yule mjeda alipo mkaribia akamchoma kisu cha tumbo maskini utumbo wote nje,mjeda akakichomoa shost akakiokota akamchoma mgongoni jamni yule dada katili sana mjeda kafa hivi hivi huku familia ikijua kaenda job wameambulia maiti amana.Hii imetokea jana!
Utani pembeni hivi mtu ambaye ana wanawake zaidi ya wawili nje ya ndoa hivi anakuwa ana mapenzi kweli?.
ila wajeda wengi hawariziki na mke mmoja hata siku moja sijui wakoje wajameni............wanapenda kukonyeza haooooowatu wengine wanapenda kujitafutia matatizo mmhhh! sasa shida yote ya nini ni hiyo na kila siku wanazaliwa wapya.:embarassed2:
sio mmachame kweli huyo mdada@aminata
Yani wewe unadhani wivu ndio mapenzi???sasa yote si mapenz au kilichomfanya huyu kimada au unafikiri ni uzinifu au mapenz na wivu mana mtu ukiwa na wivu sio tena uzinifu huo bali uko inlove tayari ujue...........ukisema uzinz hapo ni mjeda ila mm nimesema mapenz mabaya kwa kimada mana wivu ulipitiliza ukazaa hasira na hasira ndio ikazaa mauaji hayo upo mkuu mpaka hapo
Yani hapo kuna mapenzi aina tatu.fazaa, ivi mapenzi ya mke na yale ya ndugu au mama yanafanana?