Mapenzi kwangu yamenikataa

Pole mkuu ndio ukubwa huo😂😂😂
 
Mtie moyo kidogo kha
Wengi wanaoweza kuvumilia na kupotezea maumivu kwenye mahusiano walishawahi kuumia kabla wakahangaika wee sahiz huwaambii kitu
wakisikia mtu anaumia wanauliza why lkn awali waliumia hivhivo
Wewe mwanamke mko kwenye mahusiano alaf anazaa na jamaa mwngne na bdo unaendelea nae,,iv hyo n akili au tope
 
Ninachoelewa mapenzi hayashauriki hivyo basi fanya lolote unaloona ni sahihi kwako. Kila la kheri!
 
Bro, Piga moyo konde, jikeep busy tyu na life,,,,
Haya maisha yashanikuta, nlisepa chuo, nikiwa huko nikaachwa kwa kisingizio cha Chuo kuna Pis kali,
##Huku nyuma akabeba Mimba, nkaskia kwa wadau, nkapotezea, na kupambana na maisha yangu japo ilini_pain
## Juzi kati hapa amenichek anadai ameanza kunipenda tena na anataman mm niwe baba mtoto ake (Baba wa mchongo)
.

## So blaza we jikunjue tuu kwenye Life, hata kama ita_take Time ila uta_recover
 
Mapenzi yamekushinda achana nayo, kwa sasa epuka kushika vitu vizito, vyenye ncha kali na kamba usije ukajidhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…