Mapenzi kwangu yamenikataa

Mmmm kweli mapenzi yana nguvu, fanya mambo mengine kwa sasa hivi achana na mapenzi.
 
Mkuu ebu nieleweshe vizuri kwanza! Yani huyo demu alipata mimba ya mtu mwingine ukiwa nae wewe kwenye mahusiano na bado ukamtunza mtoto?
 
Polesana
Mapenz yanaumiza

Mkuu ebu nieleweshe vizuri kwanza! Yani huyo demu alipata mimba ya mtu mwingine ukiwa nae wewe kwenye mahusiano na bado ukamtunza mtoto?
Yah kwasabu ya umbali wet niendaga nairobi nikakaa mwaka mzima mim huwa napenda kusafir uku natoa matunzo huwa napenda sana kusafir that why nikaona sio kesi acha tuendele baada ya kulialia sana
 
Pole ndilo neno wataka kusikia... Na anakupenda ndilo neno litakalo kupa faraja ...

Uhalisia "Dunia inataka watu makatili haswa linapokuja swala la nafsi yako" jiangalie we na si yeye ... Tumia akili na sio hisia.


Nasisitiza utaambiwa tafuta pesa pesa pesa... Ji imalishe kiuchumi, kua na afya Bora na jithamini ... Vingine vitafuata
 
Yah kwasabu ya umbali wet niendaga nairobi nikakaa mwaka mzima mim huwa napenda kusafir uku natoa matunzo huwa napenda sana kusafir that why nikaona sio kesi acha tuendele baada ya kulialia sana
Labda wakat unasafir akapata mwingine
 
Aaaah qmmk,,,bwege wewe
 
Mwanamke anashika mimba ya mtu mwingine, ilhali yupo kwenye mahusiano na wewe, alaf unachukulia poa?

Hivi wanawatoaga wapi nyie?
 
Mwanangu babaako nimecheka Mpaka gari zima wananishanga

Utatutoa mbavuuuuuuu
 
Mbona nyie mnazaa nje ya mahusiano yenu na bado tunaendelea na mahusiano hatuwaachi?
Na huwa hatufichi Kama nyie mnavyo fucha Watoto!! Kwanza kuficha Mtoto ni zambi kwa Mungu!!
 
Aaaah qmmk,,,bwege wewe
😂😂Mtie moyo kidogo kha
Wengi wanaoweza kuvumilia na kupotezea maumivu kwenye mahusiano walishawahi kuumia kabla wakahangaika wee sahiz huwaambii kitu 😂wakisikia mtu anaumia wanauliza why lkn awali waliumia hivhivo
 
Mtie moyo kidogo kha
Wengi wanaoweza kuvumilia na kupotezea maumivu kwenye mahusiano walishawahi kuumia kabla wakahangaika wee sahiz huwaambii kitu
wakisikia mtu anaumia wanauliza why lkn awali waliumia hivhivo
Exactly. Shida ni kwamba kijana anakuwa hataki kuukubali ukweli kwamba hapa pameshaingia mchanga matokeo yake anajilazimisha kuamini mapenzi bado yapo hata kama anaona waziwazi kwamba hapa sitakiwi
 
We acha ushamba


Mapenzi Yana uma ,that's why umeandika haraka haraka


Umepigwa za uso..ngoja nkupe Siri

1.tafuta hela
2.usishoboke Kwa pis ovyo ovyo
3.kua busy na life yako

kitu kizito kimetua mwamba bado anateseka yuko chini
 

ajiambie yeye fala” wanaume tutafika tumechoka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…