SikuelewiHabarin za usiku,
Kwangu jaman hali sio shwari hasa upande wa mapenzi. Nilikuwa na mahusihano na dada wakichaga wa Old Moshi kwa u but mapenzi yananguvu mimi nilizama wote, nikawa namhudumia mtoto aliniomb msamaha ndiyo maana kumbe yeye ananichora.
Sasa siwezi msahau halafu nampenda bado, japo nilienda kumpokonya vitu nilivyo mpa, sasa nifanyeje?
Mrudishie vitu ulivyompokonya.Habarin za usiku,
Kwangu jaman hali sio shwari hasa upande wa mapenzi. Nilikuwa na mahusihano na dada wakichaga wa Old Moshi kwa muda wa miaka mitatu sasa.
Sasa juzi nilimuomba meeting tukutane, akasema ana hamu ya ice cream basi nikamwambia tukutane hapo Azam ya Kariakoo yeye anakaa kigamboni. Basi mimi nikafika pale mapema piga simu hapokei, nikasema huyu atakuwa anaoga nikasema ngoja niende kwaza Mt. Joseph Posta nikasali kidogo.
Nilingia ibadani saa kumi nikatoka kumi na mbili kasoro hakupiga simu, nikaamua kuondoka nipo Fire kwenye gari ndiyo ananipigia. Eti nilikuwa mbali na simu naoga nakuja, saa moja hiyo, nikamwambia fanya mambo yako!
Nafika home namba ngeni inanicheki inaniambia wewe mshikaji najua unatembea na demu wangu, achana nae kabisa tena futa mazoea, nikaingalia ile namba WhatsApp nikakuta amewekwa dp.
Huyo demu ana mtoto na alimpata wakat mimi na yeye tuna mahusihano na siyo wangu but mapenzi yananguvu mimi nilizama wote, nikawa namhudumia mtoto aliniomb msamaha ndiyo maana kumbe yeye ananichora.
Sasa siwezi msahau halafu nampenda bado, japo nilienda kumpokonya vitu nilivyo mpa, sasa nifanyeje?
Kwann umemuuliza ivoUna umri wa miaka mingapi?
Afu ni ushambaMrudishie vitu ulivuompokonya.
Mimi siwezi kufanya ufala huo hata Kama nilihonga BugattiAfu ni ushamba
Kumbuka kamtumia miaka mi3 hapoMimi siwezi kufanya ufala huo hata Kama nilihonga Bugatti
Amepata mtoto mkiwa kwenye mahusiano ila mtoto sio wako! Hayo mahusiano yenu yalikua ni ya aina gani?Habarin za usiku,
Kwangu jaman hali sio shwari hasa upande wa mapenzi. Nilikuwa na mahusihano na dada wakichaga wa Old Moshi kwa muda wa miaka mitatu sasa.
Huenda shida sio mapenzi ila shida ni wewe. Ujinga uliuanza hapo.demu ana mtoto na alimpata wakat mimi na yeye tuna mahusihano na siyo wangu but mapenzi yananguvu mimi nilizama wote,
Kufa, shenzi kabisa
Ongeza sauti apo.Mbona tunarudia kila siku,usipende single mother maana muda wowote wanarudiana na baby daddy wake
What you can do, tafuta demu mwingine haraka akupe stress mpya ili usahau stress za zamani. Vinginevyo utakua chizi.
Mbona nyie mnazaa nje ya mahusiano yenu na bado tunaendelea na mahusiano hatuwaachi?Uko na msichana/ mwanamke kwenye mahusiano af anaku cheat mpaka anabeba mimba bila woga ila kuonyesha jinsi gan wewe ulivyo kiazi kibovu, bado ukaendelea naye na mtoto ukahudumia!!!!..
Braza wewe ni Mjinga..
Heb jiambie kimoyomoyo "mimi ni fala"
Kwakifupi mapenz hayajakushinda ila umejiendekeza kutotumia akili.
Sawa mapenz yanauma ila hapa umejiumiza mwenyewe.
Piga chini huyo LUKUPI a.k.a chuma ulete
Na nyie si ndio muanze kutuacha sasa??Mbona nyie mnazaa nje ya mahusiano yenu na bado tunaendelea na mahusiano hatuwaachi?