Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,960
Ina maana kwa wakati mmoja uko na Wanawake wawili au? naomba kueleweshwa hapa nimeshindwa kuelewa.
We huwezi kuwa nao zaidi?
Ina maana kwa wakati mmoja uko na Wanawake wawili au? naomba kueleweshwa hapa nimeshindwa kuelewa.
Kama nakujua [emoji16]Tumia tu herufi ndogo utaeleweka mkuu
Ndio ni Kama unanijua ila unijuiKama nakujua [emoji16]
KweliNdio ni Kama unanijua ila unijui
Kumbuka hili moja tu:HAPA DUNIANI TUNAPITA TU HAKUNA ATAKAYEBAKIA ILA MILIMA PEKE YAKE, HIVI MWANAMKE NI MTU AU JINI MTU? KWANINI WANAJIFANYA WANABADILIKA KAMA RANGI KWENYE UPINDE WA MVUA? SAFARI YA MAPENZI KWANGU IMEKUWA NDEFU SANA NA NATARAJIA KUTOOA TENA MAANA WANAWAKE WAMEKUWA NYUNDO KWA UONGO KWA WAUME ZAO.......HIVI MTU UNAMPIGIA SIMU HAPOKEI MARA ANAKATA HALAFU UNAAMUA KUNYAMAZA KIMYAAAA BAADA YA SIKU KAMA TATU ANAKWAMBIA SIMU ILIIBIWA BAADAYE ANAKWAMBIA NATAKA KUBADILI SIMU HIVI WANAWAKE MMETUONA SISI WANAUME MATAIRA AU?SIMU ILIYOIBIWA NA INAYOBADILISHWA NI IPI? SIKUONGEA NENO HAPO NIKAMWAMBIA UKIBADILI UNAMBIE......MPAKA LEO YUPO KIMYA NA ANAPATIKANA ONLINE EVERYDAY LAKINI SI KWA SABABU YANGU ANAJUA YEYE..
........ETI LEO ANANIPIGIA SIMU NIMELEZWA NAUMWA SASA MIMI NIMFANYAJE?WANADANGANYA MPAKA WANAANZA KUSEMA UKWELI KWENYE UONGO WAO........MWINGINE SIKU HIYO NIPO ZANGU MISELE MTAANI AKANIPIGIA SIMU UPO WAPI NIKAMWAMBIA NJIANI NAELEKEA KWANGU AKANIULIZA MAENEO GANI NIKAMJIBU KARIBU NA KIBAO CHA SHULE AKANAMBIA NIMSUBIRI NIKAMWAMBIA POA........NIKAKAA KABISA NIKIMSUBIRI BAADA YA MUDA NAMPIGIA ANANAMBIA ETI NILISHAPITA KWANI BADO UPO HAPO ULIPONAMBIA?NIKAMWAMBIA NDIO NIPO HAPA HAPA WEWE ULIPITIA WAPI?AKAKATA SIMU MIMI NIKAONDOKA KWENDA ZANGU GERO KWANGU NILIPOFIKA AKANIPIGIA TENA NA KUNAMBIA ETI DADDY WAKE ALIMPIGIA SIMU NA KUMUULIZA UPO WAPI THAT WHY AKANIPITA BILA KUNIONA MIMI NIKAM CHALLENGE NA SWALI DOGO TU....KWANI PALE KAMA UNGEKUJA UKANIONA TULIKUWA TUNARUDI NYUMA AU TULIKUWA TUNAENDA NJIA MOJA KWENDA KWENU NA KWANGU MAANA TUPO JIRANI?AKAKATA SIMU NAMI NIKAMWANDIKIA SMS NIKAMWAMBIA DANGANYA WATOTO LAKINI SI MIMI MCHAGA NINAYEJUA STEP ZOTE AU MDANGANYE MAMA YAKO NA BABA YAKO SI MIMI......NIKAMBLOCK SASA HAWA WOOTE WANAWAKE NA WANANISUMBUA SANA NA KILA MMOJA NISHAMWAMBIA RUHUSA NIMEWAPA KUTAFUTA MWANAUME ANAYEKUFAA KAMA MIMI SIKUFAI NIACHE......LAKINI WANANISUMBUA TUU KILA SIKU NIWAFANYAJE??????
NIMEGOMBANA NAO NIMECHOKA NOW NIPO KIMYA TU USHAURI PLZ ILI NIJUE NIWAFANYE NINI MIMI......
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji119][emoji119][emoji119]Kumbuka hili moja tu:
"KATIKA MAHUSIANO, WANAWAKE HUJA NA EXPIRY DATE KABISA. HAIJALISHI UNAMTENDEAJE, TAREHE HIYO IKIFIKA TU, ANAKUMWAGA"! Mie nilishawachoka zamani!!
Nimekuelewa sana mkuu, nadhani reply hii imegusa wengi. Naomba niichongee frem ya mbao.Kwasasa lazima uumie ndipo ujue kuwa hao ni jinsia tofauti na wewe.
Kwa namna unaongea unaonekana ni bwana mdogo in your early 20's. Upo katika stage nzuri sana ya kujenga maisha yako.
Ngoja nikushauri jambo, wanawake hawajawahi katika maisha haya kufuata mwanaume kama mwanaume, bali hufuata kile wanachopata kwa mwanaume.
Kosa unalofanya ni kuamini unawapa wanachotaka ile hali kiuhalisia wao hawapo interested nacho. Wekeza huu muda kujijenga kifedha zaidi achana na kujijenga na ngono.... Utafanya sana huko mbeleni ingawa si kwamba nasema usifanye mahusiano kama utapata ya kueleweka, la hasha, nakwambia kuwa usifanye mapenzi kuwa Namba moja kipaumbele yako kwa sasa. Ni ngumu ila you have no choice.
Madogo wa sasa mnabahati sana. Knowledge ya uchumi na finances ipo very open and available so mnayo nafasi ya kujifunza na kujijenga mapema sana na mkatoboa maisha before hata ya kufika miaka 30 ambao ni umri wanaume wengi huanza kuwa serious na maisha na kuanza kutoboa.
Wanawake wa umri kati ya 17 hadi 25 au possibly 27 wengi kwa miaka hii wanakuwa hawapo serious na mahusiano sababu utoto unakuwa mwingi.
So ukideal na rika hilo jiandae kupata maumivu hawapo natural kama zamani siku hizi wana ujinga ujinga mwingi sana kama kudanga, kucheza na hisia, kufanya multiple secret relationships na wanaume wengi, kuomba omba hela hovyo, kutokuwa na malengo bora ya mahusiano wanadate kama trends zinavyotaka au fashion ndio maana wengi utasikia wanakuwa na vigezo vya kipuuzi kama kuwa na mwanaume mrefu, mweupe, shombe shombe, handsome, mpiga pamba, mwenye rasta, mwenye gari, maarufu etc, yaani kifupi utoto.....
So at this age tenga 70% ya muda wako kusoma, kufuatilia, kusikiliza, kutazama na kujifunza maswala ya fedha, mbinu za utafutaji pesa, kusave, kukuza akiba yako, kuongeza kipato chako cha siku, kuwa na multiple incomes etc. By the time ukishaanza kuscore utakuwa unaishi your future in the present time. Na by the time utafika umri ule utakuwa tayari umeshatoboa na utaenjoy maisha na kula wanawake kwa kiwango chako.
Mfano mtazame diamond, alianza kupambana at early 20's na kukana utoto na kuendekeza mademu na kujifunza mbinu za kutengeneza pesa, alianza kuishi his future during his present time. Na unaona now ameshafika katika his future time akiwa ready made na tayari. Unaona wanawake wanavyopanga foleni tena warembo haswa.
Mwanamke hata akitengeneza pesa ni kazi bure bado atahitaji mwanaume m'moja tu wa kuwa nae. Wewe mwanaume ukiwa na pesa wanawake wengi watataka kuwa na wewe. Wanawake ni kama paka, they are never loyal to their master kama mbwa.
So dogo, achana na mabinti, komaa na hustle za pesa na kujifunza. Time will bring you wanawake watamu kuliko maelezo.
Komaa, tafuta pesa......
Me nimeicopy sehemu... Imetegua kitendawil cha muda mrefu sana kilichonishindaga kupata jibu lakeNimekuelewa sana mkuu, nadhani reply hii imegusa wengi. Naomba niichongee frem ya mbao.
Maneno muhimu sana haya,,,[emoji120][emoji120][emoji120]Kwasasa lazima uumie ndipo ujue kuwa hao ni jinsia tofauti na wewe.
Kwa namna unaongea unaonekana ni bwana mdogo in your early 20's. Upo katika stage nzuri sana ya kujenga maisha yako.
Ngoja nikushauri jambo, wanawake hawajawahi katika maisha haya kufuata mwanaume kama mwanaume, bali hufuata kile wanachopata kwa mwanaume.
Kosa unalofanya ni kuamini unawapa wanachotaka ile hali kiuhalisia wao hawapo interested nacho. Wekeza huu muda kujijenga kifedha zaidi achana na kujijenga na ngono.... Utafanya sana huko mbeleni ingawa si kwamba nasema usifanye mahusiano kama utapata ya kueleweka, la hasha, nakwambia kuwa usifanye mapenzi kuwa Namba moja kipaumbele yako kwa sasa. Ni ngumu ila you have no choice.
Madogo wa sasa mnabahati sana. Knowledge ya uchumi na finances ipo very open and available so mnayo nafasi ya kujifunza na kujijenga mapema sana na mkatoboa maisha before hata ya kufika miaka 30 ambao ni umri wanaume wengi huanza kuwa serious na maisha na kuanza kutoboa.
Wanawake wa umri kati ya 17 hadi 25 au possibly 27 wengi kwa miaka hii wanakuwa hawapo serious na mahusiano sababu utoto unakuwa mwingi.
So ukideal na rika hilo jiandae kupata maumivu hawapo natural kama zamani siku hizi wana ujinga ujinga mwingi sana kama kudanga, kucheza na hisia, kufanya multiple secret relationships na wanaume wengi, kuomba omba hela hovyo, kutokuwa na malengo bora ya mahusiano wanadate kama trends zinavyotaka au fashion ndio maana wengi utasikia wanakuwa na vigezo vya kipuuzi kama kuwa na mwanaume mrefu, mweupe, shombe shombe, handsome, mpiga pamba, mwenye rasta, mwenye gari, maarufu etc, yaani kifupi utoto.....
So at this age tenga 70% ya muda wako kusoma, kufuatilia, kusikiliza, kutazama na kujifunza maswala ya fedha, mbinu za utafutaji pesa, kusave, kukuza akiba yako, kuongeza kipato chako cha siku, kuwa na multiple incomes etc. By the time ukishaanza kuscore utakuwa unaishi your future in the present time. Na by the time utafika umri ule utakuwa tayari umeshatoboa na utaenjoy maisha na kula wanawake kwa kiwango chako.
Mfano mtazame diamond, alianza kupambana at early 20's na kukana utoto na kuendekeza mademu na kujifunza mbinu za kutengeneza pesa, alianza kuishi his future during his present time. Na unaona now ameshafika katika his future time akiwa ready made na tayari. Unaona wanawake wanavyopanga foleni tena warembo haswa.
Mwanamke hata akitengeneza pesa ni kazi bure bado atahitaji mwanaume m'moja tu wa kuwa nae. Wewe mwanaume ukiwa na pesa wanawake wengi watataka kuwa na wewe. Wanawake ni kama paka, they are never loyal to their master kama mbwa.
So dogo, achana na mabinti, komaa na hustle za pesa na kujifunza. Time will bring you wanawake watamu kuliko maelezo.
Komaa, tafuta pesa......
[emoji1] tuko pmj mkuu...pole sna hao mademu wte wawili vichaaHapa duniani tunapita tu hakuna atakayebakia ila milima peke yake, hivi mwanamke ni mtu au jini mtu? Kwanini wanajifanya wanabadilika kama rangi kwenye upinde wa mvua? Safari ya mapenzi kwangu imekuwa ndefu sana na natarajia kutooa tena maana wanawake wamekuwa nyundo kwa uongo kwa waume zao.......
Hivi mtu unampigia simu hapokei mara anakata halafu unaamua kunyamaza kimyaaaa baada ya siku kama tatu anakwambia simu iliibiwa baadaye anakwambia nataka kubadili simu hivi wanawake mmetuona sisi wanaume mataira au? Simu iliyoibiwa na inayobadilishwa ni ipi? Sikuongea neno hapo nikamwambia ukibadili unambie......Mpaka leo yupo kimya na anapatikana online everyday lakini si kwa sababu yangu anajua yeye..
........Eti leo ananipigia simu nimelazwa naumwa sasa mimi nimfanyaje? Wanadanganya mpaka wanaanza kusema ukweli kwenye uongo wao........ Mwingine siku hiyo nipo zangu misele mtaani akanipigia simu upo wapi, nikamwambia njiani naelekea kwangu akaniuliza maeneo gani nikamjibu karibu na kibao cha shule akanambia nimsubiri nikamwambia poa........
Nikakaa kabisa nikimsubiri baada ya muda nampigia ananambia eti nilishapita kwani bado upo hapo uliponambia? Nikamwambia ndio nipo hapa hapa wewe ulipitia wapi?Akakata simu mimi nikaondoka kwenda zangu gero kwangu nilipofika akanipigia tena na kunambia eti daddy wake alimpigia simu na kumuuliza upo wapi that why akanipita bila kuniona mimi nikam challenge na swali dogo tu....Kwani pale kama ungekuja ukaniona tulikuwa tunarudi nyuma au tulikuwa tunaenda njia moja kwenda kwenu na kwangu maana tupo jirani? Akakata simu nami nikamwandikia sms nikamwambia danganya watoto lakini si mimi mchaga ninayejua step zote au mdanganye mama yako na baba yako si mimi......
Nikamblock sasa hawa woote wanawake na wananisumbua sana na kila mmoja nishamwambia ruhusa nimewapa kutafuta mwanaume anayekufaa kama mimi sikufai niache......Lakini wananisumbua tuu kila siku niwafanyaje??????
Nimegombana nao nimechoka now nipo kimya tu ushauri plz ili nijue niwafanye nini mimi......