mapenzi kwa njia ya simu na skype

mapenzi kwa njia ya simu na skype

utaepuka hayo...lakini kama ni mwanaume ujue unajitafutia uhanithi...baada ya muda kifanyio chawa mdebwedo kama chuzi la mlenda

aaahh shem acha kutisha watu bana. ila ni salama kwa wapenzi ambao wapo mbali mbali.
 
nakueleza kweli shem, kumbuka mwanaume itambidi ajichue na athari mojawapo ya kujichua ni kuifanya misuli ya kifanyip kulegea...hivyo kifanyio kinakua kama manati vile kila kikinyanyuliwa kinarudi chini chenyewe...
 
touberrr!!! haya tulale shemeg, huu mwezi mwenzio stakiwi kujadili mavitu magumu. lol
 
Back
Top Bottom