FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
Rafiki yangu kanieleza kuwa huwa anafanya mapenzi na mke wake kwa simu au skype mpaka wanamaliza. Naomba msaada inakuaje?
Sakapal nimekupenda bure......naomba tufanye nasi hapa JF kule kwa Pinda. Mods hawana noma na hilikwa njia ya simu mnahakikisha kuwa mna credit za kutosha na kisha kila mtu anakuwa eneo private usije fanya phone sex kumbe mwenzio yuko kwenye kikao ofisini, mkishakuwa wote naked au mnaweza anza kwa kuvuana nguo na hapo mawaxzo yenu yanakuwa yametekwa na hisia zenu as if yuko near by, kisha unamwambia mfano: jikune kisimi as if unapiga katerero utajua kama inaworkm kwa sauti atakayoitikia (japo wengi huwa wanafake kuwafurahisha wenzao) na hii mi ningefurahi ingekuwa inatumika kwa nyumba ndogo au vidumu ili kukwepa mimba na magonjwa yaani wale wanaozini nje ya ndoa wangekuwa wanatumia phone sex bila kukutana ingeondoa matatizo mengi sana. Japo madhara yake hii kitu pia ni kuwa unaweza mfanyia mtu phone sex kisha ndo ukawa umempandisha genye na hivyo kwa kuwa mko mbali ukamfanya ndo atafute wa karibu amalize hizo genye, haya mapenzi ya kizungu sometimes hata sio mazuri, yana madhara yake.
Skype sex kidogo inanoga maana unamuona mhusika mwenzako live na hapo mnanyegeshana tuu hadi mnafikia orgasm na kulala. N yenyewe haitofautiani na phone sex tofauti ni kuwa kwenye skype mnaonana.
Si kila unachoambiwa au kusikia basi ukifanye au uige, vingine vikupite tuu vinaweza kukuletea balaa ambalo hukulitarajia, kila la kheri.
Pia haina tofauti sana na kuflirt na watu mitandaoni kwa maandishi kama hivi
Rafiki yangu kanieleza kuwa huwa anafanya mapenzi na mke wake kwa simu au skype mpaka wanamaliza. Naomba msaada inakuaje?
I hate hii kitu..........
hahahah...
wakati mwingine mapenzi hutumia ile sehemu ya ubongo yenye kuhifadhi ukichaa wa mtu.
Hahah fanya kama hujaiona vile.........ile kitu inazidisha msongo......na kama unataka kumshinda shetani kamwe usifanye vile kwani kuanguka mwenye majaribu ni rahisi mno.