Nakubaliana nawe kuwa mke ama mume aweza kupatikana kwa njia nyingi,na urafiki huwasogeza watu karibu hata wakajenga uchumba na kisha ndoa. Dada caroline ajue kuwa ndoa zavunjika kwa sababu nyingi kubwa kudanganyana. Kitabu hicho kimenisaidia sana kupata mke na nina amani na hata sasa ndugu zangu 2 wamefunga ndoa wkt 1 mkewe walijuana mtandaoni