Mapenzi kitu kibaya sana

Mapenzi kitu kibaya sana

Nafasi yako ishachukuliwa hata usijihangaishe.
 
Mkuu pole Sana Ila jawabu la tatizo. Lako unalo wewe mwenyewe. Ni rahisi Sana mfuate yule demu iliyepiga naye picha mweleze Kila kitu alafu kula mzigo ili Sasa iwe kweli alafu mwambie demu wako umeamua kufanya kweli maana wanakusingizia. Acha uboya changamka
 
World dynamics: zamani wanawake walikua wanalia kwenye mapenzi siku hizi naona wanaume wamekua waliaji wakuu kwenye mapenzi.
 
wanaume hatuumizi vichwa kisa mapenzi huo ni ufala kabisa chalii unapenda ili iweje!!,kupenda penda hovyo ni uboya ni heli uje ujiunge na chapa ilale
 
Angalia tu usije ukanywa sumu maana unaonekana umeandika huku unalia
 
ni suala la muda, muda ukipita hata hutataka kumuona! Akizingua mwache asogee mbele hutakuwa huja-meet standards zake
 
Umri wako mkuu
Kawaida sana hiyo
We piga kimya...tu....atakutafuta
 
Back
Top Bottom