shamp
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 225
- 215
Jaman mi ninachohitaji ni ushauri nipo katika hali mbaya kuna mwanamke nampenda sana lakin kasikia kua nina dem mwingine kitu ambacho sio cha kweli kisa tu nilipiga nae picha basi rafiki zake wakamwambia mi nilisex nae adi tukapiga picha nimejaribu kuongea nae lakin hanielew nimeagizia rafik zang lakin wap nampigia cm saiz hapokei wala kujib sms imefikia mda sasa nimekata tamaa lakin nashindwa kumtoa moyon ata sijui nifanyaje anitoke nimsahau kabisaaa mana nimetokea sasa kuchukia jinsi anavonifanyia naomben mawaidha yenu wakuu 
mapenzi mabaya asee nimeamin naombeni ushauri nifanyaje

mapenzi mabaya asee nimeamin naombeni ushauri nifanyaje