mapenzi kama haya tabu

Duuh hapo inabidi ujichunguze kwanza! Mwambie akwambie tatizo ni nini kwani inavyo elekea haitapita mwezi ata kwambia msitishe mapenzi bila wewe kujua sababu. Jaribu kumuuliza ulipo kosea ili ujirekebishe!

nimejaribu kumbembeleza aniambie kama kuna tatizo lakini bado anadai hamna tatizo.
 
Habari za jioni,hebu naomba tushauriane hili limenikuta.Nina g'fnd wangu anakituko ambacho sijakifurahia,alinikaribisha room kwake siku 1 tu kiukweli tulishea oral sex!lakini baada ya hapo hataki niingie tena ndani ya room yake,nikifika house anayokaa ananistopisha nje,anataka tuongelee nje.Hataki ni mguse.Naombeni mnifumbue ni nini kimejificha hapa?





Yaelekea kile alichotegemea kukipata toka kwako (mahaba motomoto) hakuyapata ndiyo maana hakutaki tena
 
Inaelekea ana mtumwingine so anapima upepo, anajifeel guilt, anajihisi kama anamsaliti hivi,at the same time anakupendapenda hivi, yan we kaa kimya uone kama hatajirud espcl kule akiona 'haukam kam,akielewek'
 
Back
Top Bottom