majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 564
Naujua saaana mnato lakini siuzimikii hata kidogo........napenda pwapwapwa, tena nikuibie siri nimepata kigori cha Kingoni kishambashamba hivi na nimekiambia kitafute namna ya kutanua njia..mambo ya kubanana ya kazi gani!!
wa jf mna mambo.wamasai na wao wana madawa sio huwa yana ukweli au ni fake?kwa kweli sijawahi kujaribu,na wala sithubutu,k yangu naipenda kama ilivyo
Kaazi kweli kweli..Yote hii ni kukamatana katika mapenzi.
Mwisho ni kujiaribu maumbile tu.
ha ha ha hyo ya po nimeipenda ee kweli
Nilikuwa nasoma Bella Naija...kuna research imesema Nigeria ni number one kwa kutumia mkorogo wanawake asilimia zaidi ya 70 ni wateja wa mkorogo ikifuatiwa na South Africa...at the same time wanaume waliohojiwa wamesema wanapenda chocolate girls...wamekuja juu hao.
Hila message wameipata kuwa wako hatarini kupata cancer na magonjwa yanayokaribia cancer.:nono:
shabu ni local aluminium potassium sulfate huwa inatumika kwa ajili ya kutibu maji yaani ni flocculant so it does the flocculation or coagulation activity in water treatment.
shabu hii kwasababu ya kuwa na mchanganyiko huo huwa inatabia ya kukakamaza misuli. inapokuwa applied ukeni hubana misuli ya uke na kufinya njia ya uke kwa muda. hili likifanyika uke huwa mdogo na ndipo watu husema kuwa ni mnato.
side effects zake.
kwanza aluminium husababisha alhzemer's desease
lkin pia shabu huwa ikishapitisha muda action yake hutoweka na hapo hufanya misuli ya uke kuwa kama lapu lapu vile. yaani ukitaka kuelewa ni kama vile mtu anayeweka spirit kwenye kidonda inauma sana kwa wakati ule ila baada ya muda maumivu hutoweka na eneo huweza kuwa contacted tena na vijidudu kama halijahifadhiwa vyema.
mwenzangu,sharbu ni dawa sijui niseme sijui ni unga unga ambao unaweka kwenye k ili iwe ndogo,wanaamini inakuwa kama ya mtoto,sasa kina dada wanaifanya hii kitu bila kujuaa mdhara yake ambayo ni makubwa sana,kimsingi ukavu wa k ukiwa wa asili ndio poa haya ya kufoji haya kuna siku watu wataziweka k cement oh!
ha ha ha ha ha ha ha ha teh teh teh teh teh teh, mi siwawezi na hizo sharbu zenuMhhhh shabu inafanya iwe mnato lakini baada ya mda ikulu inatepweta na ukizowea sana ndio ukijisahau kuvaa chupi
ile kitu inaweza inalia kama firimbi ya refaa mpirani.....
haya sasa ni uwanja wazoefuuu wajimwageIvi jamani juzi nlikua kwenye saluni fulani hivi,basi akaingia mdada hapo anauza vitu vilivosagwa akasema matumizi yake unaeka kuongezea mnato huko kwa kina dada eti,,,nasikia mwanaume akizama huko na nyumbani kwake anaeza akahama na kama ni mume basi full kukuganda....Jamani ee Do we have to go this far?