mapenzi jamani yataniua

mapenzi jamani yataniua

city2014

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
36
Reaction score
2
mambo vp wana MMU naomba kujua kwa nini kabla hujamgegeda mwanamke anakua msumbufu sana?
 
heading na content ni vitu viwili tofauti!naona ndo unajifunza kupost
Anyway tuachane na hilo mimi husumbuliwa baada ya kugegeda na si kabla, yani kila wakati kila mahali anataka
 
hivi huyu anajua kufa anakusikia? anaongea kama ameanza nazo jana kichwani kalala na kuamka nazo
 
Ukiendekeza mapenzi sana kila time utakufa kweli si unafahamu kuwa UKIMWI upo? We haya na mapenzi yako ya kuku.
 
hivi hayo ni mapenzi au ngono inasumbua. badili kichwa cha uzi.
 
sijapata connection kati ya title na maelezo..naomba ufafanuzi..
 
Back
Top Bottom