Mapenzi Jamani Mapenzi.. uuuuwiii....

Mapenzi Jamani Mapenzi.. uuuuwiii....

Nishajiuliza sana, kama kumpenda, kweli nampenda, lakini naanza kumchoka sasa, maana simuelewi, nishamweleza, sasa kama Nina matamanio ya mapenzi nifanyeje na yy hataki kunipa Papuchi? Ananiomba niendelee kumvumilia. Nimechokaaaaaa. Aaah.

dizaini kama limbwata at work
 
usimdanganye mwenzio kuna mtu anakula huo mzigo bila vikwazo vyovyote.

Wee matola una uhakika gani kuwa huyo gal anatoa mzigo? Mayb gal ana msimamo wake wakua sealed until married, daah yaan sikuhizi watu hatuaminiani kabisa.
 
Am tired jaman of ths Life. Naombeni mnishauri ndugu yenu, kijiua sijiui ng'ooo.[/QUOTE]

Dahh wifi anamsimamo:thumbup: Mbembeleze kidogo ata mfanye some shallow foreplays at least upunguze kiu kidogo kama hatojali.
 
Dooh. Kuwaza ati anamwanaume mwingine sitaki hata kuwaza nahisi kama nitachanganyikiwa zaidi. May be hanipendi, Bora nimuache, in Life not all seeds grow, some do, some dont, i have Loosed alot in My Life, so Long as i breath, thingz will change for better. Na kama kwel mm ndie mwenye makosa Mola anisamehe, Am no Longer in a shape to be in any kind of relation for now.

I have a Job, i have my Future to build, and thats what i will do, i will be down sometimez Yes, i agree, but i will Overcome this shiit for Good, One day all ths will be a history to me.

I was born a Man, i will die a Man, i will fight for my Future, and not a Woman any More. I was Once a Good Man, with a Heart to Love, and ths so called Love, work less with me.

I will change, i will be different.

Huyu Mwanamke Nampenda sana, i Love everything in her, but i let it Go, You win some, You Loose some.

Today am a Looser, One Day i wll be a winner.

Honestly am broken hearted, i know i sound stupid. I dont mind...

Hata maneno ya kusema yameisha. Poa tuu.
 
Wadau, i believe mpo Poa.

Nina Mpenzi nimekuwa nae kwa takriban Miaka Minne sasa, Nilianza kumtongoza tukiwa Form Five, yy akiwa anasoma Shaaban Robert, Mimi nasoma Jtegemee.

Akaja nikubali tukiwa chuo Mwaka wa kwanza, mambo yalikuwa poa, nilimpenda, Mpaka sasa nampenda, lakini shida Ilianza nilipoanza kuomba Papuchi, Mrembo alikataa kata kata, na kunakipindi ktk ugomvi akanitamkia kama nimeshindwa kumuelewa nitafute mwanamke mwingine, kwamba yeye hataki tufanye mapenzi mpaka nimuoe.

Mwaka ukaisha, kidume navumilia, mwaka wa pili ukaisha na watatu, Napiga nyeto huku nina Mrembo Mzuuri, hadi wenzangu wananionea wivu. Kamaliza chuo, akapata kazi, lakini Uzi ule ule, sasa ni myaka minne, sijacheza nae game hata Moja.

Nimetumia Lugha zote, nimeshafanya kila kitu lakini wapi, Uwezo wangu kifedha sio mzuri hata leo ningemuoa, lakin mamaa hanielewi, nafanya Paper za board ya Procurement, Mshahara wote unaishia huko, achilia Kodi, nauli na chakula.


Mtoto hataki kutoa Papuchi, jaman what should i do? Nimechoka kupiga nyeto, Uume umeingia ndani, nina hasira, sina concentration nzuri ofisini, Shuleni hata home. Yaani am confused, nawaza kumuoa but sitaki reason iwe mapenzi, maana ndio sio Mapenzi tuu.

Namombeni mnishauri, miaka minne, naitwa Majina yote mazuri, Mume wangu, My Love, baba kayai... Lakini Papuchi sipewi, Nimepiga nyeto mpaka uume ukiuona mkono wangu wa kulia unasimama.

Am tired jaman of ths Life. Naombeni mnishauri ndugu yenu, kijiua sijiui ng'ooo.

Anazingua huyo me nimeanza kula papuchi mapema sana na bado sijamchoka na mpango wa kumuoa uko palepale
 
Mkuu inamaana hua haji ghetto kusafisha+kukufulia+kukupikia mara mojamoja?kama hakufanyii hivyo vitu now ukimuoa itakuaje?
 
Mpaka kufikia hatua nimeanika la moyoni jamvini ujue yamefika shingoni, what i have realise ni kama naogopa nikihama ntakuwa nimepoteza muda mwingi sana kwake, Lakini pia, Huyu binti ni bikra, labda kweli anaogopa.

Nawaza miaka yote namsubiri, halafu nimuache, atokee mwingine avunje glass ambayo mm niliishia kuishika tuu?

She Look honest, Friendly but mpaka Leo hanipi mchezo, kuchepuka natamani lakin si mjuzi sana wa hit n Run, nahisi nitakamatwa tuu.

Nampenda, Lakini anachonifanyia sio sawa, Mapenzi na sabuni, Lotion, kutoboa godoro, Nimechoka. Nikiwaza sana, nahisi kama nachanganyikiwa.

And am serious... INANINYIMA RAHA. Chuo nilikuwa namwandikia Project zake zote, Field report zake nimefanya Mimi. Na zote alifauli kwa kiwango cha A. Lakini Papuchi sipewi, kuna kipindi kuna masomo ambayo mm sikuwa nasoma ila yy, yalikuwa yanamsumbua, Nikaanza kusoma notes ili nimuelekeze, yote kumjali na kumpenda, Papuchi No. Sasa maji yamefika shingoni, Naona nazeeka, Ujana unanipita, ninaempenda she is taking me for Granted.

This is not Fair.

Pole xana mkuu kumbe ulikuwa unamsaidia ili akupe Papuchi?! Hahahahaha. Mkuu ucjali kama ipo ipo tu hata kama itachelewa. Fanya fasta nenda kwao umpose then ataamin kama utamuoa atakupa tu. kama akizingua lipa kbsa na mahali hapo ndo kabisa hawezi kubana.
 
yani huyo yuko sawa kabisa... nami ndo nataka nianze hiyo system maswala ya kufunuana na kugeuzana kama chapati sasa basi
 
Yaani thamani ya yote uliyomfanyia ni kupewa ngono? You are not serious shemeji, yaani ukipewa tu inalipa gharama zote? I strongly recommend, mapenzi sio ngono tu, there is more than that. I had been with my boyfriend for ages now, we never been in bed but we love each other. He treat me like a queen and I do the same like a king. We are happy and respect each other, we are together most of the time, at my home, at his ghetto, but we never do it. We will soon merry and enjoy everything we have. So acha uchizi fanya kazi
 
Hawa bikira za tandika zinawapa kiburi sana
 
Yaani thamani ya yote uliyomfanyia ni kupewa ngono? You are not serious shemeji, yaani ukipewa tu inalipa gharama zote? I strongly recommend, mapenzi sio ngono tu, there is more than that. I had been with my boyfriend for ages now, we never been in bed but we love each other. He treat me like a queen and I do the same like a king. We are happy and respect each other, we are together most of the time, at my home, at his ghetto, but we never do it. We will soon merry and enjoy everything we have. So acha uchizi fanya kazi

Endelea kuamini hivyo, the only reason why I cried Loud is simply becouse sikuwa na mwanamke mwingine, pia nilikuwa na mueleza abt how I felt yy akawa anapuuza, to me I was simply asking of her mercy, mimi ndie anasema ananipenda, na hata Punyero I told her and she knows the side effect, it was the only way I remained faithfully to her, and at the begging, sex was not a thing to us, but as I grew up, ndivyo hamu ya papuchi ilipokuwa inaongezeka, sasa ulitaka nimwambie au nimwombe nani zaidi yake yy?
 
duh piga bomba mpaka ukiona mkono wakulia unasimamisha stimaa ya umeme duh dunia ina mambo
 
Dah umenifanya nicheke huku nasikitika.

Me mwanamke akiniambia "mpaka ndoa", namkubalia tu, lakini tukiingia ndani ya uhusiano, hiyo ya Papuchi atatoa tu.

Haiwezekani mtu na demu wake for 4 years hujapata hata nafasi moja ya kumtumbua, au ni dada yako huyo.

Am sure she has lost all the respect she had for you.
 
Angalia jf wasije watu wakakushauri vibaya maana humu jf kuna watu hawapitwi na demu. Watu hao hawawezi kukushauri jambo la maana ila watakuambia achana naye au anza michepuko. Kiukweli kama mchumba wako huyo msimamo alio nao kwako ni mpaka kwa wanaume wengine huyo ndo mwanamke wa kuoa. Tatizo letu wanaume tumesahau kuwa mapenzi sio lazima tesex so kinachokusumbua wewe ni kuamini kuwa mapenzi ni mpaka sex tu ndo utamwamini kuwa anakupenda that's not true.

Kama wewe ni mkristo au muisla unatambua wazi kuwa dini zote mbili zinakataa zinaa. Mi nnachokushauri ni kwamba wewe usitake ndoa ya harusi kubwa kwa vikao vya hapa na pale. Cha msingi hapo nenda katoe posa kwao na uanze process za ndoa hiyo cjui papuch utaipata ndani ya ndoa. So suluhisho kamili hapo ni ndoa. Na ndivyo dini zote zinaelekeza hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom