- Thread starter
- #41
Bwana mdogo we ndo unalemba. Go to the next level, tii haja yake ya ndoa na isnt necessary ukaoa kwa matarumbeta. Anayajua maisha yako vzr hata kataa kuolewa na wewe.
Nxt time usiweke uchumba kwa muda mrefu, mi nilikaa miaka8 kilichotokea ni majanga never trust em @ all!
Sawa, so namuoa ili tufanye mapenzi? Is this really a Good reason for Marriage? Napia anataka harusi kubwa, na mbwembwe kibao, mimi siziwezi.
Huko nakoelekea sintoa kabisa, maana nikitizama namna nilivyojitoa kwake for all these years, najiona mjinga.
Kuna muda nalia, Najilaumu kwann hata nilitokea kumpenda yeye tuu. Mbona wanawake ni wengi? Lakini akili yangu iko kwake tuu?