Mapenzi Jamani Mapenzi.. uuuuwiii....

Mapenzi Jamani Mapenzi.. uuuuwiii....

Tatizo mnatoka katika dunia mbili tofauti kabisa. Kuna watu ni wazinzi lakini pia ni waelewa wanapopata mtu kama huyo wao wanachofanya ni kutafuta mpango wa kando tu. Huyo kuna watu wanamfaa kabisa, yaani wapo kama yeye. Wewe unahitaji mzinzi mwenzio ili mzini weeee kabla ya kuoana.
 
are u crazy ... find another women .. alafu nikuambie ukweli huyo demu hutamuoa jidanganye tu atapigwa mimba na ataolewa... tafuta mwanamke wewe huyo siyo wako kakuona zoba
 
are u crazy ... find another women .. alafu nikuambie ukweli huyo demu hutamuoa jidanganye tu atapigwa mimba na ataolewa... tafuta mwanamke wewe huyo siyo wako kakuona zoba

ukiwekeza kwa wachaga hilo ndo utakalo ambulia miss chaga umenena kweli kiasi chake ila kama hauna roho nyepesi unaweza kunyonga mtu
 
Thanks dia.

Kuhusu ndoa, hataki ya kitoto, anataka sherehe kubwa, lakini najiuliza, naoa ili nipewe papuchi? Na kama Punyeto imeniathiri, vipi nikiishia mlangoni nikamwaga hata sijafika sebuleni? Atanivumilia? Hivi ingekuwa ni mm namwambia asubiri nimuoe ndio nile game, angevumilia kama mm? Angekuwa mwaninifu kama mm?

Basically your not faithful either as you have been cheating on her with your right hand
 
kutokutoa papuchi haimaanishi kua anakupenda au hakupendi acha mapenzi ya hivyo
 
Najua, tuliwahi Lala hotel na huyu binti, alilala na skin jeans, nadhana unaelewa how difficult it is kumvua mdada skin jeans kama hana ushirikiano na ww, Nikaishia kucheza na chuchu, Miezi ikaenda. mwaka ukapita, nikaweza tena mshawishi tukalale hotel, ths time kidogo nikasogea lakini bado sikuweza kuingia... Imefika mahala nimechoka.

Sijui niielezeeje hii..sikulaumu but if you did better it would've turned out otherwise.

Sasa huyu dada si umuoe kama unampenda?
Akitaka ndoa ya gharama its my understanding kwamba kwa siku hizi unaweza hata usichangie harusi na ikawa kubwa. Kingine u relly need to marry a realistic woman. Kwa sababu kama anataka harusi kubwa na anajua fika hamko na hela nyingi unadhani kwenye ups and downs za kwenye ndoa atakuelewa?
Ndoa haiishii kwenye harusi na mwanamke mwenye busara ataangalia ndoa na si harusi. Mwanamke kakuweka miaka yote hiyo na bado anaangalia HARUSI? Does that ring a bell that she loves you?
Na usiku wa harusi ukipiga 3-0 sebuleni kabla hujafika chumbani si utaombwa talaka siku hiyohiyo?

Think man think!!!!!
 
(Myaka) kuna misamiati humuuuu!!!!??
 
Ww maji yakizidi unga ucjilazimishe kusonga ugali kunywa uji usonge mbele...hapo habar ya mjin Chepuka tu coz bahat hua haipotei km u were meant to be then utamuona bt nyeto n kamchezo kabaya puuh!
 
Wadau, i believe mpo Poa.

Nina Mpenzi nimekuwa nae kwa takriban Miaka Minne sasa, Nilianza kumtongoza tukiwa Form Five, yy akiwa anasoma Shaaban Robert, Mimi nasoma Jtegemee.

Akaja nikubali tukiwa chuo Mwaka wa kwanza, mambo yalikuwa poa, nilimpenda, Mpaka sasa nampenda, lakini shida Ilianza nilipoanza kuomba Papuchi, Mrembo alikataa kata kata, na kunakipindi ktk ugomvi akanitamkia kama nimeshindwa kumuelewa nitafute mwanamke mwingine, kwamba yeye hataki tufanye mapenzi mpaka nimuoe.

Mwaka ukaisha, kidume navumilia, mwaka wa pili ukaisha na watatu, Napiga nyeto huku nina Mrembo Mzuuri, hadi wenzangu wananionea wivu. Kamaliza chuo, akapata kazi, lakini Uzi ule ule, sasa ni myaka minne, sijacheza nae game hata Moja.

Nimetumia Lugha zote, nimeshafanya kila kitu lakini wapi, Uwezo wangu kifedha sio mzuri hata leo ningemuoa, lakin mamaa hanielewi, nafanya Paper za board ya Procurement, Mshahara wote unaishia huko, achilia Kodi, nauli na chakula.

Mtoto hataki kutoa Papuchi, jaman what should i do? Nimechoka kupiga nyeto, Uume umeingia ndani, nina hasira, sina concentration nzuri ofisini, Shuleni hata home. Yaani am confused, nawaza kumuoa but sitaki reason iwe mapenzi, maana ndio sio Mapenzi tuu.

Namombeni mnishauri, miaka minne, naitwa Majina yote mazuri, Mume wangu, My Love, baba kayai... Lakini Papuchi sipewi, Nimepiga nyeto mpaka uume ukiuona mkono wangu wa kulia unasimama.

Am tired jaman of ths Life. Naombeni mnishauri ndugu yenu, kijiua sijiui ng'ooo.

we utaishia kuitwa honey switie,sijui nani ila wajanja wana lamba mzigo kwa pembeni kwa uzuuuriii kabisa.
 
Thanks dia.

Kuhusu ndoa, hataki ya kitoto, anataka sherehe kubwa, lakini najiuliza, naoa ili nipewe papuchi? Na kama Punyeto imeniathiri, vipi nikiishia mlangoni nikamwaga hata sijafika sebuleni? Atanivumilia? Hivi ingekuwa ni mm namwambia asubiri nimuoe ndio nile game, angevumilia kama mm? Angekuwa mwaninifu kama mm?

WANAUME WA KIIVI MNATOKA WAPI?????think meeen dont let us down take ur value....usioe kwa nia ya kupata gegedo mkuu ...ndoa ni zaid ya hapo

unajua baada ya hrusi kuna maisha na je kama leo hii anataka harusi ya gharama while anajua unasomma haupo ok kiuchumi ndani ya nymba mtaelewana??kwann atake vitu vya gharama?kama kweli alikua aajitunza basi angekuwa tayari
muoane ili muanze maisha

jitambue kama men...fanya maamuzi mkuu hapo ulipo una madhra ya puyeto bdo unaongeza stress.
 
Wadau, i believe mpo Poa.Nina Mpenzi nimekuwa nae kwa takriban Miaka Minne sasa, Nilianza kumtongoza tukiwa Form Five, yy akiwa anasoma Shaaban Robert, Mimi nasoma Jtegemee.Akaja nikubali tukiwa chuo Mwaka wa kwanza, mambo yalikuwa poa, nilimpenda, Mpaka sasa nampenda, lakini shida Ilianza nilipoanza kuomba Papuchi, Mrembo alikataa kata kata, na kunakipindi ktk ugomvi akanitamkia kama nimeshindwa kumuelewa nitafute mwanamke mwingine, kwamba yeye hataki tufanye mapenzi mpaka nimuoe.Mwaka ukaisha, kidume navumilia, mwaka wa pili ukaisha na watatu, Napiga nyeto huku nina Mrembo Mzuuri, hadi wenzangu wananionea wivu. Kamaliza chuo, akapata kazi, lakini Uzi ule ule, sasa ni myaka minne, sijacheza nae game hata Moja.Nimetumia Lugha zote, nimeshafanya kila kitu lakini wapi, Uwezo wangu kifedha sio mzuri hata leo ningemuoa, lakin mamaa hanielewi, nafanya Paper za board ya Procurement, Mshahara wote unaishia huko, achilia Kodi, nauli na chakula.Mtoto hataki kutoa Papuchi, jaman what should i do? Nimechoka kupiga nyeto, Uume umeingia ndani, nina hasira, sina concentration nzuri ofisini, Shuleni hata home. Yaani am confused, nawaza kumuoa but sitaki reason iwe mapenzi, maana ndio sio Mapenzi tuu.Namombeni mnishauri, miaka minne, naitwa Majina yote mazuri, Mume wangu, My Love, baba kayai... Lakini Papuchi sipewi, Nimepiga nyeto mpaka uume ukiuona mkono wangu wa kulia unasimama.Am tired jaman of ths Life. Naombeni mnishauri ndugu yenu, kijiua sijiui ng'ooo.
mkuu si umuoe kama kweli unampenda au bado kakuwekea kipingamiz yanini ujiumize kidoli chako?
 
ukiwekeza kwa wachaga hilo ndo utakalo ambulia miss chaga umenena kweli kiasi chake ila kama hauna roho nyepesi unaweza kunyonga mtu

Mi sielewi kwa nini kulazimisha kupendwa... kuna binadamu wanabaka mioyo ya watu
 
Tatizo mnatoka katika dunia mbili tofauti kabisa. Kuna watu ni wazinzi lakini pia ni waelewa wanapopata mtu kama huyo wao wanachofanya ni kutafuta mpango wa kando tu. Huyo kuna watu wanamfaa kabisa, yaani wapo kama yeye. Wewe unahitaji mzinzi mwenzio ili mzini weeee kabla ya kuoana.

Duh. Asante Mkuu, ningekuwa mzinzi nisingekuwa nae mpaka Leo, ila asante Mkuu kwa Ushauri Wako.
 
are u crazy ... find another women .. alafu nikuambie ukweli huyo demu hutamuoa jidanganye tu atapigwa mimba na ataolewa... tafuta mwanamke wewe huyo siyo wako kakuona zoba

Mmmhm. Ushauri mwingine ngumu kumeza, but thanks.
 
Basically your not faithful either as you have been cheating on her with your right hand

Kweli am not faithful, shetani anautumia sana mkono wangu wa kulia kunishawishi, au niukate Mkuu? Hivi ww ulishawah kupiga hii kitu? Inapunguza stress balaa.
 
Sijui niielezeeje hii..sikulaumu but if you did better it would've turned out otherwise.

Sasa huyu dada si umuoe kama unampenda?
Akitaka ndoa ya gharama its my understanding kwamba kwa siku hizi unaweza hata usichangie harusi na ikawa kubwa. Kingine u relly need to marry a realistic woman. Kwa sababu kama anataka harusi kubwa na anajua fika hamko na hela nyingi unadhani kwenye ups and downs za kwenye ndoa atakuelewa?
Ndoa haiishii kwenye harusi na mwanamke mwenye busara ataangalia ndoa na si harusi. Mwanamke kakuweka miaka yote hiyo na bado anaangalia HARUSI? Does that ring a bell that she loves you?
Na usiku wa harusi ukipiga 3-0 sebuleni kabla hujafika chumbani si utaombwa talaka siku hiyohiyo?

Think man think!!!!!

That's why nikaomba ushauri jaman, but mnenifumbua macho, watu hujiua kisa mapenzi, but again Thanks dia.
 
WANAUME WA KIIVI MNATOKA WAPI?????think meeen dont let us down take ur value....usioe kwa nia ya kupata gegedo mkuu ...ndoa ni zaid ya hapo

unajua baada ya hrusi kuna maisha na je kama leo hii anataka harusi ya gharama while anajua unasomma haupo ok kiuchumi ndani ya nymba mtaelewana??kwann atake vitu vya gharama?kama kweli alikua aajitunza basi angekuwa tayari
muoane ili muanze maisha

jitambue kama men...fanya maamuzi mkuu hapo ulipo una madhra ya puyeto bdo unaongeza stress.

basi jamani. Namuachaaa. I was honest with her, na zaidi ya yote nilimpenda, nisingeweza fanya yote haya if it wasn't for Love, hata miaka ilipita mm bila kujua, I just realized that I have spent four consecutive years masturbating.

Its not like I like ths way of Living, am tired of it, n simply wanna get off it.

Nishauri jambo jema la kufanya. To do it, put ur self in my position first.
 
Yani kuna Wanaume ni Wa.pu.mbavu sana yaani Unalia kisa Mwanamke harafu pesa una dah!wewe tafuta pesa tafuta position au status katika jamii unayoishi au unapofanya kazi,Uone kama atakusumbua kwa Ujumla huyo AKUPENDI,UPENDO gharama kama anakupenda ungepewa Zamani pore sana,Me natongoza leo naomba papuchi kesho yake napima upepo kama hakuna tumaini nasepa mapema,Tz kuna wanawake wengi sana
 
tatizo mnatoka katika dunia mbili tofauti kabisa. Kuna watu ni wazinzi lakini pia ni waelewa wanapopata mtu kama huyo wao wanachofanya ni kutafuta mpango wa kando tu. Huyo kuna watu wanamfaa kabisa, yaani wapo kama yeye. Wewe unahitaji mzinzi mwenzio ili mzini weeee kabla ya kuoana.

i love u
 
are u crazy ... find another women .. alafu nikuambie ukweli huyo demu hutamuoa jidanganye tu atapigwa mimba na ataolewa... tafuta mwanamke wewe huyo siyo wako kakuona zoba

Wala asitafute wake, ajitaid amuoe, kama ni mimba ampe yeye kwa ajuavyo yeye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom