Mkami Lum
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 414
- 96
Wana jf, nmewaza na kuchambua hatua za Mapenzi, nazo ni;-
1. Huzaliwa
Kuzaliwa kwa mapenzi ni pale unapatwa na hisia za upendo toka moyoni kwako kwa mtu mwingine.
2. Huishi,
Mapenzi huishi baada ya kuunganisha mioyo na kupendana wote kwa pamoja na ku-share mambo mengi ya kimapenzi.
3. Kufa
Mapenzi hufa kwa kwa kuachana(kibuti/talala) na kwa kifo cha mmoja au wapendanao wote.
Wewe unanaje?