Chepuka halaf mumeo akufumanieHuyo mwanamke naye ana kiranga kwa sababu walishaachana na huyo mwanaume kulikuwa na haja gani ya kumwambia kwamba anataka kuolewa?
Tunayasingizia mapenzi tu ila saa nyingine vifo huwa tunavitaka wenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chepuka halaf mumeo akufumanie
Kweli wewe amechambua vizuriKwa jambo hili, limeonesha moja kwa jinsi mapenzi yanavyoweza kuwa shubiri.
Pia ujue kuna njia nyingine ambapo walio katika mapenzi huuana. Mfano, kuambukizana magonjwa kutokana na kukosekana uaminifu, maisha ya kutokuelewa, au tabia sugu za ulevi n.k. zinapelekea mwenza mmoja kutokuwa na raha ya maisha, hivyo kusababisha msongo wa mawazo, shinikizo la damu hadi kifo.
Una heri wewe simon petro ni Roho aliyekufunulia hayoNilichojifunza watu waache kuwaringishia wengine.