Mapenzi hayana mwenyewe

Mapenzi sio basic need na hatukuzaliwa nayo hivyo tafuta jambo lingine la kujihusisha nalo....kwanza kwa uandishi wako unaonekana hukuwa ukifanya mapenzi bali matusi kwa kuwa umri wa mapenzi hukuwa umeutimiza!
 
Futa namba zake kabisa. Alaf mwambie ukweli kwamba akikupigia sim anakuumiza zaidi.
Kama umekalili namba yake unalo
 
dada avatar yako nimeipenda mnoooo
Get a life. Get busy.
Una hela? Kama huna hela chakarika ujiongeze, achana na mambo ya kumuwaza mtoto wa mtu. Nenda shule, get a new job. Kiufupi get a life manake umeshamgeuza yeye kuwa maisha yako
 
wow,amazing
 
unaweza ukapenda kijana au mzee. wimbo wa rubi huo ndo mwanzo kichwa cha habari yako.
 
tatizo wanaume wengi ukiwa nao karibu watahitaji kuwa wapenz hilo ndo tatizo but ata mazingira niliyopo cwez kupata marafiki wengi wa kiumeee


Kitendo cha hao wengi kutaka kuwa wapenzi na wewe kuwakataa ndiyo njia moja wapo ya kusahau ya nyuma na kufurahia mashindano yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…