wewe ulimuacha au yeye ndiye aliyekuacha? au kwanin mliachana?sory kwa swaliwewe ni ke au me!!!
kuna binti mmoja alinipenda sana ila tulitengana lakini huwa tunasalimiana kwa simu tu!!
kwa uandishi huu nahisi ni yeye

Get a life. Get busy.
Una hela? Kama huna hela chakarika ujiongeze, achana na mambo ya kumuwaza mtoto wa mtu. Nenda shule, get a new job. Kiufupi get a life manake umeshamgeuza yeye kuwa maisha yako
wewe ni ke au me!!!
kuna binti mmoja alinipenda sana ila tulitengana lakini huwa tunasalimiana kwa simu tu!!
kwa uandishi huu nahisi ni yeye
tongoza mwingine mbona wanawake wako wengi sana....kuwa kama mimi nikiachana na mtuu baada ya siku tatu nishapata mwingine dunia ya leo na wanawake wa kibongo ukiwa unawawaza sana utakonda bure na wenyew watakuwa wananenepa tuuuu tongoza mwingine mkuu achana naye huyo
wewe ni ke au me!!!
kuna binti mmoja alinipenda sana ila tulitengana lakini huwa tunasalimiana kwa simu tu!!
kwa uandishi huu nahisi ni yeye
Si kirahic kama unavyofikiriaa ww........!!
wewe ulimuacha au yeye ndiye aliyekuacha? au kwanin mliachana?sory kwa swaliwewe ni ke au me!!!
kuna binti mmoja alinipenda sana ila tulitengana lakini huwa tunasalimiana kwa simu tu!!
kwa uandishi huu nahisi ni yeye
tongoza mwingine mbona wanawake wako wengi sana....kuwa kama mimi nikiachana na mtuu baada ya siku tatu nishapata mwingine dunia ya leo na wanawake wa kibongo ukiwa unawawaza sana utakonda bure na wenyew watakuwa wananenepa tuuuu tongoza mwingine mkuu achana naye huyo[/QUOTE
cwez kutongoza coz mi ni ke