Mapenzi haya

Mapenzi haya

Sababu inayotufanya tusiwe na upendo kama wa awali ni kwamba ile trust mliyokuwa nayo mwanzo kati yenu inapotea na mnaanza kuishi kwa kuviziana ila upendo unaweza ukakua zaidi ikiwa mlipoachana kila mmoja alienda akajirekebisha kama alikuwa na makosa na pia akawa amekuja na maboresho yenye kuvutia
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%
 
Tatizo akikuzidishia maringo sana, mf. hapokei simu, kuku-ignore. Unayefanyiwa hivyo unahisi kama unajipendekeza sana, kila siku unabembeleza wewe tu.

Inafika wakati unajiuliza hivi huyu mwenzangu amenipa nafasi ipi? ananichukuliaje? au anaamini siwezi pata mwingine? ndio maana ananichukulia poa.

Sasa ndio mtu una-amua na wewe kuwa kichwa ngumu na kutafuta mwingine wa pembeni, ili usijipe shida sana. Sababu nafasi/hadhi aliyokupa ni ndogo kuliko uliyompa wewe ndio maana anapata jeuri ya kukusumbua/kukunyanyasa.
 
Kuna makosa tuyafanyayo Sana tulio kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Kujiona Mr or Miss Perfect ni kosa kubwa Sana, kutojishusha na kuchukuliana madhaifu yetu. Hili nalo limekuwa ni tatizo Sana.
Kilichonishinda ni mtu kujiona yupo sahihi hakunaga kujishusha, much know everything hahaha
Hii imenitouch for sure be blessed
 
Back
Top Bottom