INAUMA SANA CHEKI HII ,Unamnunulia demu CM mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA !
Huo ni Mgawanyo wa Majukumu. Unamrushia demu love SMS yeye ana foward kwa Mwanaume mwenzako !
Huo ni Mwingiliano wa mtandao. Unamnunulia demu CHUPI , Mwanaume mwenzako ANAMVUA,
Huko ni kusaidiana ktk maisha! Unamwomba demu mfanye mapenz japo kwa dakika chache, mwanaume mwenzako anabembelezwa na demu wakalale mpaka asubuhi.. Yaani daah yaani kumbe wanaume pia tunaonewa pia... Wanajamii msaada plz....
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums