mapenzi haya taki vitisho

Mhhhhh! Ndiyo yamekuwa hayo tena lol! hahahahaha...Chezeya watoto wa MUJINI weye!!!! Unaweza ukatoa puchi puchi kwa kuogopa kufutwa JF lol!


Eti mod atakufuta kama hujanipa penzi lol
 
Last edited by a moderator:
Hahaha. Muambie akuonyeshe kwanza kitambulisho. Mods wa jf hawako hivyo bwana! Mbona mi hawajanitongoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…