Leo nimekumbuka moja ya kisa cha miaka tisa nyuma kilichomtokea dogo mtaani baada ya demu wake kukata betri getto kwake. Daah dogo baada ya kuona vile, naye akajitundika.Yaani wote walienda na maji hivhiv ka utani.
Ujumbe:
Vijana tulieni haya mambo siyo kabisa; subirieni ndoa. Dogo alijua kuna noma mbele yake ndio maana akajiua naye ili kila MTU akose.
R.I.P
Ujumbe:
Vijana tulieni haya mambo siyo kabisa; subirieni ndoa. Dogo alijua kuna noma mbele yake ndio maana akajiua naye ili kila MTU akose.
R.I.P