kimwana anaitwa Shani,mchana kanipigia simu,namuuliza uko wapi niko kinondoni,njoo basi darling,bishanga huyo nikaenda,tumekula kisha kaniomba nimsindikize dukani anataka kununua kitu.Ndo tumeingia dukani hapa TX,duka la vipodozi full vioo halina hata magrill,usiku huwa linawaka mitaa ile mbaya,kwanza kachagua brazilian hair bei laki nane,ananirembua macho bishanga nimelegea zimentoka,SH 18 suisse lotion laki imentoka,neutrogena shampoo elfu semanini zimentoka,jaaaaaasho linantoka,nasali na kuomba amalize tuondoke,na yeye ndo kwaaaaaaanza.....
erick si chochote si lolote ndo mana Amyner alimpiga chini.heeeee hayo ndio mapenzi bhanaaaaaa. lazima pesa ikutoke, chacha fikiria unavyo ghramia ndugu yangu alaf unamkuta Erick B52 kamkamatia.................................:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
Nothing goes for nothing
Kipipiiii.. Mamito meku miss jameni!! Bishanga hataki kunitafsiria eti.
young master afadhal umemuuliza maana me kaniyeyushia.hulali?
erick si chochote si lolote ndo mana Amyner alimpiga chini.
kimwana anaitwa Shani,mchana kanipigia simu,namuuliza uko wapi niko kinondoni,njoo basi darling,bishanga huyo nikaenda,tumekula kisha kaniomba nimsindikize dukani anataka kununua kitu.Ndo tumeingia dukani hapa TX,duka la vipodozi full vioo halina hata magrill,usiku huwa linawaka mitaa ile mbaya,kwanza kachagua brazilian hair bei laki nane,ananirembua macho bishanga nimelegea zimentoka,SH 18 suisse lotion laki imentoka,neutrogena shampoo elfu semanini zimentoka,jaaaaaasho linantoka,nasali na kuomba amalize tuondoke,na yeye ndo kwaaaaaaanza.....
Bishanga sijakufahamu ujue.....mi tajiri bana,acheni nitumbue mihela yangu,nini bana laki nane,kudadadadadeki,karibuni kaunta serena,
Mi ndo nilipigwa down au we The secretary ndo katua pwaaaa?
bishanga wala halalaliki,anaelezea tu kilichojiri mchana huu.