Mapenzi fake na SEX fake! Yanachosha kwel kwel...

Why I am so lucky? let it exist honey! Mie ntamtret Kaunga friendly kama ile uliyosema hujawah ona wala kusikia sitampa ili uwe the master mom....! ila akitaka kuleta ukorofi ataonja kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga tunahitaji maelezo zaidi ili tujue hiyo tofauti........nimeogopa kweli
 
Last edited by a moderator:
Sometimes its good to be fake tena inanoga zaidi mkijikuta wote mnafake cause at the end of the day hakuna atakayebaki na majeraha moyoni..
 
Erotica.........you guys are just weird ebu jaribu kufuatilia huyu mkaka anataka nini haswa kwako kama naye kafikia hatua ya kufake......kantisha maana kufake kwetu siye kitu cha kawaida kutokana na obvious reasons kwa mkaka......duh!

hayajakukuta lemonade? basi unabahati, hasa kama

hayajakukuta wewe kwa nini unafeki kama anaweza game? ni crious kwel tena.
 
Last edited by a moderator:
Why I am so lucky? let it exist honey! Mie ntamtret Kaunga friendly kama ile uliyosema hujawah ona wala kusikia sitampa ili uwe the master mom....! ila akitaka kuleta ukorofi ataonja kidogo!

mie sina wivu, unaanza kunipa wasi wasi kama utamani hata kidogo kwa Kaunga.................

hata ukienda hatakumegua, utarudi kama ulivyoenda labda mende staili za ajabu mvunjane. teh teh
 
Last edited by a moderator:
Sometimes its good to be fake tena inanoga zaidi mkijikuta wote mnafake cause at the end of the day hakuna atakayebaki na majeraha moyoni..

Purple haya maneno unaongea unamaanisha kweli? umewahi fika kileleni ufurahie kutofika?

majeraha hayapo moyoni yapo kwenye nanilihuu, inabaki wajimalizia ki utu uzima.
 
Last edited by a moderator:
mie sina wivu, unaanza kunipa wasi wasi kama utamani hata kidogo kwa Kaunga.................

hata ukienda hatakumegua, utarudi kama ulivyoenda labda mende staili za ajabu mvunjane. teh teh

Guys guys, we r having fun hapa hatutishiani! Paxman u have to deal with ur emotions; tunaenda kutumiana na kuenjoy. Hakuna kuzamia popote, ila fanya check up ya cholestrol level na ur ticker maana tuna mpango wa kukutumia pamoja of course nawe utatutumia vile vile!
 
Last edited by a moderator:

:A S-coffee:
 
Bishanga tunahitaji maelezo zaidi ili tujue hiyo tofauti........nimeogopa kweli

lemonade,tuchukulie umeolewa,mme kenda mwanza kikazi for two weeks,kumbe huko mwanza anapuyanga kama hana akili nzuri,siku anarudi Lemonade umejikwatua,msosi wa kweli umeandaa unamsubiria bwana,mwenzio kumbe a day before kurudi kakamuliwa kisawasawa na akirudi wewe kukupa ni wajibu unadhani atafanyaje kama sio ku feki na tena atafeki huku akimu imagine yule wa mwanza ili niniliyu isianguke,kama umemzoea mmeo utajua tu.
 
Last edited by a moderator:

Another new profession to be gained at the end of this week! Usijali Kaunga niko fit kwa kila aina ya disorder.... inabidi tufanye general testing sote watu alhamis...! I am proud of uuuuuu!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga yaani nahisi kama maumivu yanajirua upya.....we acha tu........yaani kumbe!.........lakini mara nyingi uwa wanaleta visingizio vya ugonjwa, mara mgongo ooh tumbo na hata stress za ofisini.......sina hata hamu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…