Mapenzi fake na SEX fake! Yanachosha kwel kwel...

mimi sitishiwi nyau, mimi najiamini, mimi ni Erotica Erocious. nimetoka ukoo uliochanganya kila kabila,

mimi nina chembe ya kila kabila hivo cal me haf cast. Kaunga is my sweetest am hers she is mine

we neva seto for less. hivo ngoma droo. nenda na utarudi tu hapa! na ukionja kule siku nyingine utatudi tu kule.
Why I am so lucky? let it exist honey! Mie ntamtret Kaunga friendly kama ile uliyosema hujawah ona wala kusikia sitampa ili uwe the master mom....! ila akitaka kuleta ukorofi ataonja kidogo!
 
Last edited by a moderator:
unajua mkuu kuna orgasm na orgasm,si kwa mwanamke tu hata kwa mwanammme.Mkuu we orgasm zako zote zinafanana mzuka wake? si kuna siku una pump tu ili mradi viishe na siku nyingine unakuwa ka mwehu.Mwanamke mzoefu (kama erotica i presume) ata notice the difference.
Bishanga tunahitaji maelezo zaidi ili tujue hiyo tofauti........nimeogopa kweli
 
Last edited by a moderator:
Sometimes its good to be fake tena inanoga zaidi mkijikuta wote mnafake cause at the end of the day hakuna atakayebaki na majeraha moyoni..
 
Erotica.........you guys are just weird ebu jaribu kufuatilia huyu mkaka anataka nini haswa kwako kama naye kafikia hatua ya kufake......kantisha maana kufake kwetu siye kitu cha kawaida kutokana na obvious reasons kwa mkaka......duh!

hayajakukuta lemonade? basi unabahati, hasa kama

hayajakukuta wewe kwa nini unafeki kama anaweza game? ni crious kwel tena.
 
Last edited by a moderator:
Why I am so lucky? let it exist honey! Mie ntamtret Kaunga friendly kama ile uliyosema hujawah ona wala kusikia sitampa ili uwe the master mom....! ila akitaka kuleta ukorofi ataonja kidogo!

mie sina wivu, unaanza kunipa wasi wasi kama utamani hata kidogo kwa Kaunga.................

hata ukienda hatakumegua, utarudi kama ulivyoenda labda mende staili za ajabu mvunjane. teh teh
 
Last edited by a moderator:
Sometimes its good to be fake tena inanoga zaidi mkijikuta wote mnafake cause at the end of the day hakuna atakayebaki na majeraha moyoni..

Purple haya maneno unaongea unamaanisha kweli? umewahi fika kileleni ufurahie kutofika?

majeraha hayapo moyoni yapo kwenye nanilihuu, inabaki wajimalizia ki utu uzima.
 
Last edited by a moderator:
mie sina wivu, unaanza kunipa wasi wasi kama utamani hata kidogo kwa Kaunga.................

hata ukienda hatakumegua, utarudi kama ulivyoenda labda mende staili za ajabu mvunjane. teh teh

Guys guys, we r having fun hapa hatutishiani! Paxman u have to deal with ur emotions; tunaenda kutumiana na kuenjoy. Hakuna kuzamia popote, ila fanya check up ya cholestrol level na ur ticker maana tuna mpango wa kukutumia pamoja of course nawe utatutumia vile vile!
 
:A S-coffee:
 
Bishanga tunahitaji maelezo zaidi ili tujue hiyo tofauti........nimeogopa kweli

lemonade,tuchukulie umeolewa,mme kenda mwanza kikazi for two weeks,kumbe huko mwanza anapuyanga kama hana akili nzuri,siku anarudi Lemonade umejikwatua,msosi wa kweli umeandaa unamsubiria bwana,mwenzio kumbe a day before kurudi kakamuliwa kisawasawa na akirudi wewe kukupa ni wajibu unadhani atafanyaje kama sio ku feki na tena atafeki huku akimu imagine yule wa mwanza ili niniliyu isianguke,kama umemzoea mmeo utajua tu.
 
Last edited by a moderator:
Guys guys, we r having fun hapa hatutishiani! Paxman u have to deal with ur emotions; tunaenda kutumiana na kuenjoy. Hakuna kuzamia popote, ila fanya check up ya cholestrol level na ur ticker maana tuna mpango wa kukutumia pamoja of course nawe utatutumia vile vile!

Another new profession to be gained at the end of this week! Usijali Kaunga niko fit kwa kila aina ya disorder.... inabidi tufanye general testing sote watu alhamis...! I am proud of uuuuuu!
 
Last edited by a moderator:
lemonade,tuchukulie umeolewa,mme kenda mwanza kikazi for two weeks,kumbe huko mwanza anapuyanga kama hana akili nzuri,siku anarudi Lemonade umejikwatua,msosi wa kweli umeandaa unamsubiria bwana,mwenzio kumbe a day before kurudi kakamuliwa kisawasawa na akirudi wewe kukupa ni wajibu unadhani atafanyaje kama sio ku feki na tena atafeki huku akimu imagine yule wa mwanza ili niniliyu isianguke,kama umemzoea mmeo utajua tu.
Bishanga yaani nahisi kama maumivu yanajirua upya.....we acha tu........yaani kumbe!.........lakini mara nyingi uwa wanaleta visingizio vya ugonjwa, mara mgongo ooh tumbo na hata stress za ofisini.......sina hata hamu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom