Mapenzi bwana

Wakuu shule zifunguliwe hawa watoto waende shule. We dogo tumia huu mudabwa likizo kwenda tuition usifuate ushaur wa Ndalichako elimu ya Tz inamtambua aliefaulu mtihani pekee iwe kwa uelewa au kwa kukariri au kwa kuiba mtihani. Ila mwenye uelewa mkubwa wa maarifa na akafeli mtihani basi mfumo unamtupa haumtambui kwahyo badala ya kukesha humu JF nenda kajisomee tuition na wenzako
 
Uyo demu arudi chekechea kwanza ajue kusoma mana ukimuoa maisha yako yatapinda kama ulivyopinda mwandiko wako
 
Nikusihi tu kwa huyo demu komaa maana mnafanana mihandiko na hakili zenyu zipo sahawa!.
Huyo ndo mkeho wa ndoha nawatakiha kila laheli na maisha yawanyohokee.
Mukuu tunaombaga huende kule ukamaloziyeile hadisi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…