Mapenzi buana kizungumkuti kweli kweli!

Ndio maana wenye imani ndogo wanaenda Sumbawanga.
 
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] Sijapoa bado, mademu wengine nuksi tu.
Pole pole yatakwisha jisahaulishe tu ndio dawa hiyo. Ukisema kila kukicha unakumbuka utabaki na maumivu kila siku.

We jifunze kusahau.
 
Pole pole yatakwisha jisahaulishe tu ndio dawa hiyo. Ukisema kila kukicha unakumbuka utabaki na maumivu kila siku.

We jifunze kusahau.
Mie naongea Jf tu ,nikitoka hapa
Nishaachana nazo, ndio maana nimesema
Wanawake wengine
Nuksi tu, alafu wanakupotezea muda na
Wakati. Raana tupu ukifaatana nae... [emoji57]
 
Kimekukuta kipi mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…