Mapenzi bila pesa yapo?

Mapenzi bila pesa yapo?

Chaki2016

New Member
Joined
Nov 23, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Habari Wana Jf,naombeni Kujuzwa Nimi Maana Ya Mapenzi Ya Shule Ya Msingi Na Ya Chuo Yapoje? Nahitimisha
 
Kichwa na mada yenyewe kama haviendani vile
 
Usihofu Karibuni Tu Wanafungua Shule.


jixoxG9ET.png
 
Kama waliotangulia kutoa maoni, nami naongezea kuwa Kichwa cha habari na maelezo ni kama mlenda na pilau (Tofauti kabisa!) Lakini hata hivyo nakujibu swali lako kuwa mapenzi bila pesa yapo lakini ni Kwa njiwa siyo binadamu!
 
Mapenzi ya shule ya msingi ni kati ya mwanafunzi na mwanafunzi. Mapenzi chuo ni kati ya mwanafunzi na mwalimu.
 
Dah mchanganyiko maalumu, nashindwa kujua nijibu swali la kwenye title au kwenye content
 
Back
Top Bottom