Kwahiyo akikuvulia nguo hatakiwi kabisa kukunyamazia?Mtu anakunyamazia kama vile hajawahi kukvulia nguo😂😂😂
songa mbele kamvue mwinginedaah nimewaza sana
Kwani amekwambia anakuvulia peke yako?awe na kauoga kidogo
hizi sura sio ngeni humu jfBluetooth searching but not connected.View attachment 2688681
Alpha male mentality.songa mbele kamvue mwingine
we're red pilled au sio😂Alpha male mentality.
Siwezi hangaishwa na mwanamke. Kama hanitaki sina muda wa kumbembeleza, I have no time to waste.we're red pilled au sio😂
Nimekutana nao bro.kua uyaone. hujakutana na hawa wa 20s