Mapenzi bhana ni shidah

Mapenzi bhana ni shidah

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
jamaa alikuwa anampenda sana binti mmoja hiv karibu na mtaa wao,ila alikuwa mzito kumtamkia.siku moja akajikakamua kumtumia ujumbe wa maandishi (text) (I LOVE U) ghafla kidogo meseji ikaingia kwenye simu yake ,akiwa na shauku ya kutaka kujua bint kajibu nini akaamua kuhairisha kuisoma ataisoma kesho yake. alipo amka akafanya usafi nyumba nzima akatandika kitanda akapiga chai ya nguvu mpaka wakamshangaa maana sio kawaida yake..Then alpo maliza akajitupa kitandani paah! ili apate ujasiri wa kuisoma ile sms alipo fungua akakuta "Samahani salio lako halitoshi kutuma sms hii piga *149*55# upate mkopo wa Tigo niwezeshe." akazimia hapo hapo
 
Ha ha haaaaaaa teh teh teh mimi na mbav zangu jaman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom