humiebird Senior Member Joined Dec 17, 2017 Posts 112 Reaction score 81 Dec 18, 2017 #1 Wazima humu ndani Mie naombeni kuuliza ivi inakuwa je unaakaa na mtu kwenye mahusiano alafu mkiachana unamloga?????
Wazima humu ndani Mie naombeni kuuliza ivi inakuwa je unaakaa na mtu kwenye mahusiano alafu mkiachana unamloga?????
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,748 Dec 18, 2017 #2 hahahahahahahahahaaaaaa
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,318 Reaction score 7,655 Dec 18, 2017 #4 hivi zama hizi bado kuna watu wa namna hiyo?
Muzine JF-Expert Member Joined May 4, 2017 Posts 32,366 Reaction score 60,480 Dec 18, 2017 #6 Hahaahahhaha nimecheka kifal hat mm naloga tu hamna namna
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Dec 18, 2017 #7 humiebird said: Wazima humu ndani Mie naombeni kuuliza ivi inakuwa je unaakaa na mtu kwenye mahusiano alafu mkiachana unamloga????? Click to expand... Umerogwa?!
humiebird said: Wazima humu ndani Mie naombeni kuuliza ivi inakuwa je unaakaa na mtu kwenye mahusiano alafu mkiachana unamloga????? Click to expand... Umerogwa?!
HB wa kigogo JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 2,489 Reaction score 6,251 Dec 18, 2017 #8 Kama hajaridhia kuachana na wewe inakuaje! Au ulihadi makubwa unategemea nini. Watu tunatofautia kwenye kila kitu
Kama hajaridhia kuachana na wewe inakuaje! Au ulihadi makubwa unategemea nini. Watu tunatofautia kwenye kila kitu
humiebird Senior Member Joined Dec 17, 2017 Posts 112 Reaction score 81 Dec 18, 2017 Thread starter #9 Jaby'z said: hivi zama hizi bado kuna watu wa namna hiyo? Click to expand... WaPo jaby'z ni hatar Kwa afya
Jaby'z said: hivi zama hizi bado kuna watu wa namna hiyo? Click to expand... WaPo jaby'z ni hatar Kwa afya
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,821 Dec 18, 2017 #10 eeeh!
humiebird Senior Member Joined Dec 17, 2017 Posts 112 Reaction score 81 Dec 18, 2017 Thread starter #11 kitotoro said: Wivu kidonda ........ Click to expand... Kidonda ndio uloge?
humiebird Senior Member Joined Dec 17, 2017 Posts 112 Reaction score 81 Dec 18, 2017 Thread starter #12 Nokia83 said: Umerogwa?! Click to expand... Hapna cjalogwa mie
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Dec 18, 2017 #13 humiebird said: Hapna cjalogwa mie Click to expand... Nani karogwa?! Sema unakumbuka penzi la zamani sn
humiebird said: Hapna cjalogwa mie Click to expand... Nani karogwa?! Sema unakumbuka penzi la zamani sn
humiebird Senior Member Joined Dec 17, 2017 Posts 112 Reaction score 81 Dec 18, 2017 Thread starter #14 Nokia83 said: Nani karogwa?! Sema unakumbuka penzi la zamani sn Click to expand... Aaah wap wee nkikumbuka nafata sina haja yakupost
Nokia83 said: Nani karogwa?! Sema unakumbuka penzi la zamani sn Click to expand... Aaah wap wee nkikumbuka nafata sina haja yakupost
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Dec 18, 2017 #15 humiebird said: Aaah wap wee nkikumbuka nafata sina haja yakupost Click to expand... Halikuwa penzi motomoto?!
humiebird said: Aaah wap wee nkikumbuka nafata sina haja yakupost Click to expand... Halikuwa penzi motomoto?!
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,597 Dec 18, 2017 #16 Aaiyaaaaaa tayariiiii mkuu
in ha JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 1,729 Reaction score 3,898 Dec 18, 2017 #17 Mmh makubwa!
Biobenga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2014 Posts 394 Reaction score 533 Dec 18, 2017 #18 Kuachana hakupo, Kama umemtumia mwenzako halafu umemuacha, wacha akuroge tu.
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 Dec 18, 2017 #19 Mi nililogwa asee...wanaume kiboko! Sitaki hata kukumbuka
vini10 JF-Expert Member Joined Sep 30, 2017 Posts 220 Reaction score 192 Dec 18, 2017 #20 witnessj said: Mi nililogwa asee...wanaume kiboko! Sitaki hata kukumbuka Click to expand... Ukawaje ulivyologwa
witnessj said: Mi nililogwa asee...wanaume kiboko! Sitaki hata kukumbuka Click to expand... Ukawaje ulivyologwa