Mapenz yanantesa

Mapenz yanantesa

Tatizo sigala

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
45
Reaction score
5
Nina gal aliemaliza kidato cha4 nilitoka nae mara1 tu akaniomba namba ya cm, ilahal nilimjuza kuwa nina mke na familia, amekuwa akinisumbua sana kutaka mapenz na mim ila mi stak, sasa amefika mahal ananitishia kuniua/kafara coz antaka penz lang, advise me pliz pipoz?
 
piga magoti utubu na umwambie mkeo ukweli, hayo maulozi hayatakupata kamwe.
 
Kuna mambo mengi sana yaliyochangia matokeo mabaya ya kidato cha nne..
 
Nina gal aliemaliza kidato cha4 nilitoka nae mara1 tu akaniomba namba ya cm, ilahal nilimjuza kuwa nina mke na familia, amekuwa akinisumbua sana kutaka mapenz na mim ila mi stak, sasa amefika mahal ananitishia kuniua/kafara coz antaka penz lang, advise me pliz pipoz?

Sasa wewe ulivyomuonyesha mtoto wa watu maufundi ulitegemea nini. Hakuna shida kwani kakuambia anataka umuoe? We kula mzigo kimya kimya. Alafu mkome mambo ya hit and run, kwa nini uhangaike na huyu mara yule. Kuwa na mkeo na kipoozeo kimoja nje cha kutuliza mawazo kwisha.
 
nikwel bro lakin hatak kuniacha kila cku anadai penz lang mi naogopa nahc atantafutia watu wanipige au tutanatana.
 
Nina gal aliemaliza kidato cha4 nilitoka nae mara1 tu akaniomba namba ya cm, ilahal nilimjuza kuwa nina mke na familia, amekuwa akinisumbua sana kutaka mapenz na mim ila mi stak, sasa amefika mahal ananitishia kuniua/kafara coz antaka penz lang, advise me pliz pipoz?

P.m.vu yaan unaharibu watoto halafu unaomba ushauri?nyie ndo mafataki ambao jamii haiwataki,una mke then u go to form 4???
 
Back
Top Bottom