F Ferooues mlulah Member Joined Dec 29, 2012 Posts 16 Reaction score 4 Jan 1, 2013 #1 Jamaa mmoja kaenda kufumania,jamaa alie fumaniwa alimdunda mfumaniaj mpaka katapika damu na mke akachukuliwa kixa mfumaniaj alikuwa hana nguvu
Jamaa mmoja kaenda kufumania,jamaa alie fumaniwa alimdunda mfumaniaj mpaka katapika damu na mke akachukuliwa kixa mfumaniaj alikuwa hana nguvu
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Jan 1, 2013 #2 teh sasa hayo ni mapenzi au ni zinaa???
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jan 1, 2013 #3 ni zinaa ni tokeo, chanzo ni mapenzi
Scofied JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,456 Reaction score 1,685 Jan 1, 2013 #4 wapi picha?
gobore JF-Expert Member Joined Aug 17, 2009 Posts 715 Reaction score 352 Jan 1, 2013 #5 Uko jukwaa gani mkuu?..Huku ni picha mbele kama tai
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,566 Jan 1, 2013 #6 Hujui kusoma nn?
ney kush JF-Expert Member Joined Feb 16, 2012 Posts 1,416 Reaction score 947 Jan 1, 2013 #7 Ferooues mlulah said: Jamaa mmoja kaenda kufumania,jamaa alie fumaniwa alimdunda mfumaniaj mpaka katapika damu na mke akachukuliwa kixa mfumaniaj alikuwa hana nguvu Click to expand... tunashukuru kwa picha mkuu ...
Ferooues mlulah said: Jamaa mmoja kaenda kufumania,jamaa alie fumaniwa alimdunda mfumaniaj mpaka katapika damu na mke akachukuliwa kixa mfumaniaj alikuwa hana nguvu Click to expand... tunashukuru kwa picha mkuu ...
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Jan 1, 2013 #8 Hebu jaribu kuikuza basi hiyo picha ionekane vizuri
B babacollins JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 901 Reaction score 212 Jan 2, 2013 #9 gobore said: Uko jukwaa gani mkuu?..Huku ni picha mbele kama tai Click to expand... Kama kamera! alete picha maneno tutaweka!
gobore said: Uko jukwaa gani mkuu?..Huku ni picha mbele kama tai Click to expand... Kama kamera! alete picha maneno tutaweka!