Mapenz mgando hayafai..

Mapenz mgando hayafai..

Grow up mr superstar

Kuna kidada kimoja kilipata bahat ya kukutana na mi superstar lakn cha ajabu kinaomba mgegedo wakat nakiona kama hakiko sawa kiakili na kimavaz kitanishusha ubora sijui nifanye vp wakat mie big name mtaan kwet , na sasa kaweka vitisho vya kutushia eti nikigoma nitakiona bahat mbaya nasikia kwao ni wizard cana.

Aliye nikataa karudi kwa mbwembwe na vizawadi vya kishenz baada ya kuniona B DOZEN B52 mambo yangu safii . Sijui nimuweke wapi wana MMU maana hata kwa buti ya gari hawez kaaa.. hebu nisidien
 
Kuna kidada kimoja kilipata bahat ya kukutana na mi superstar lakn cha ajabu kinaomba mgegedo wakat nakiona kama hakiko sawa kiakili na kimavaz kitanishusha ubora sijui nifanye vp wakat mie big name mtaan kwet , na sasa kaweka vitisho vya kutushia eti nikigoma nitakiona bahat mbaya nasikia kwao ni wizard cana.

Let's upgrade ur brain........ searching.......... searching...,....still searching...... SORRY NO BRAIN FOUND
 
Attachments

  • 1399177861930.jpg
    1399177861930.jpg
    12.1 KB · Views: 73
sasa si umchukue muende mbali na hapo kwenu, nani atajua au ukigegeda unajitangazia?

Hiyo avatar yako ni picha ya marehemu gani coz hiyo style huwa naiona sana kwenye majeneza wakati tunaaga maiti na wakati wa mazishi.
 
Back
Top Bottom