mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,337
- 12,469
Wachezaji wanaotakiwa kubaki ni Camara,Okejefa,Mpanzu,Ahoua,Mukwala,Nouma, Ally Salum na Kagoma.Habari za muda huu
Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi)
1.Quality Golie awe namba mbili ili kumpa changamoto Camara aasiwe anajisahau
2.Lusajo mwaikenda akamchalange kapombe na kumpunguzia majukumu
3.Kitasa ya maana yenye Nguvu maarifa na speed ya maana
4.Central midfield moja anaejielewa achukue nafasi ya okejefa
5.Atacking midfield mwenye Kasi na speed+Quality kumchalange Jean Ahoua(akiwa Moriss Abraham itakuwa sio mbaya ila sio suluhu)
6.Streka wa maana..
Wachezaji wa kuondoka
1.Manula
2.Husen Abel
3.Kijiri
4.Husen kazi
5.Omar Omar
6.Okejefa
7.Balua
NB,,hawa akina Ateba,Ahoua na Ngoma wakiongezewa ushindani wataimprove
Wachezaji wanaotakiwa kubaki ni Camara,Okejefa,Mpanzu,Ahoua,Mukwala,Norman, Allah Salum na Kagoma.
Naamini wengine hapo wana uwezo mkubwa ila hawapati nafasi za kucheza michezo ya ushindani.
Japo hao wanatakiwa waletewe watu wazuri zaidi yao wenye skills, Nguvu na kasi.
Wachezaji wetu wengi si kwamba ni wabaya, hawana nishati ya kutosha na wanachoka haraka tofauti na wachezaji wa Yanga.
Angalia wachezaji wa Yanga; mchezaji anapotoa pasi, anatafuta Space na kuomba pasi tena.
Mchezaji wa Simba akitoa pasi anabaki hapo hapo naye anaangalia mwenzake atafanya nini unafikiri yupo jukwaani.
Pia,uongozi haangalii vizuri energy ya wachezaji wanaposajili wachezaji.
ubaya ubwela.Habari za muda huu
Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi)
1.Quality Golie awe namba mbili ili kumpa changamoto Camara aasiwe anajisahau
2.Lusajo mwaikenda akamchalange kapombe na kumpunguzia majukumu
3.Kitasa ya maana yenye Nguvu maarifa na speed ya maana
4.Central midfield moja anaejielewa achukue nafasi ya okejefa
5.Atacking midfield mwenye Kasi na speed+Quality kumchalange Jean Ahoua(akiwa Moriss Abraham itakuwa sio mbaya ila sio suluhu)
6.Streka wa maana..
Wachezaji wa kuondoka
1.Manula
2.Husen Abel
3.Kijiri
4.Husen kazi
5.Omar Omar
6.Okejefa
7.Balua
NB,,hawa akina Ateba,Ahoua na Ngoma wakiongezewa ushindani wataimprove
Sijawahi kufikiri kama ni kochaKuna wakati unadhani wachezaji wa Simba ni mazuzu, hasa Viungo, hayafungui space wala hayapandishi mashambulizi.
Kama ndo mfumo wa kocha, Basi kocha ni mpumbavu
Simba iliyoanza msimu mathalani mechi ya shirikisho vs Al ahly tripoli ilikuwa na energy kubwa kuliko hii ya mwezi wa Tano na sitaWachezaji wanaotakiwa kubaki ni Camara,Okejefa,Mpanzu,Ahoua,Mukwala,Nouma, Ally Salum na Kagoma.
Naamini wengine hapo wana uwezo mkubwa ila hawapati nafasi za kucheza michezo ya ushindani.
Japo hao wanatakiwa waletewe watu wazuri zaidi yao wenye skills, Nguvu na kasi.
Wachezaji wetu wengi si kwamba ni wabaya, hawana nishati ya kutosha na wanachoka haraka tofauti na wachezaji wa Yanga.
Angalia wachezaji wa Yanga; mchezaji anapotoa pasi, anatafuta Space na kuomba pasi tena.
Mchezaji wa Simba akitoa pasi anabaki hapo hapo naye anaangalia mwenzake atafanya nini unafikiri yupo jukwaani.
Pia,uongozi haangalii vizuri energy ya wachezaji wanaposajili wachezaji.
Typing & deleting....Mutale is typing....