Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano


Kinyume chake labda maana hao wote hawafai
 
Kwa ushindi wa 58% versus 40%, ni vema Magufuli akajumuisha waziri/naibu walau mmoja kutoka upinzani.
 

kwenye red umebugi men....hayo magarasa
 
Combination ya JPM na Sospeter Muhongo inabidi "Madalali" wasio rasmi na Wapiga deal wengine wajisalimishe.

Angalau sasa rasilimali za Nchi hii zimepata Msimamizi anayeaminika.
 

nishat na madini atakua Sospeter Mhongo
 
Ulinzi;jenerali george waitara
 
Mimi pia nafikiri Waziri mkuu anafaa kuwa Harisson Mwakyembe, Mambo ya nje January Makamba na Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba, wengine malizia.............
 

Hapa ni mbwa kala mbwa, ili kumkomesha kabisa Lowassa, uwaziri mkuu apewe Harisson Mwakyembe, kudadadeki! Hii itakuwa inaitwa Nyani kala Mbwa
 
Tehe tehe
 
12 Ujenzi na Barabara - Agrrey Mwandri (Mbunge wa kuteuliwa) ameanguka Jimbo la Siha

Wabunge wa kuteuliwa

  1. Ole Sendeka
  2. Samwali Sitta
  3. Anna Mughira
 

Umejitahidı ila waziri wa Afrika Mashariki lazima awepo kwa mujıbu wa makubaliano ya EAC.
 
Waziri mkuu mwakyembe....Waziri wa nishati na madini...Sospeter Mhongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…