Yeah, wilaya ya ubungo ni majanga kwa kweli. Serikali ingeona umuhimu wa kujenga miundombinu ya ubungo.kwa sasa hamna maeneo ya dar yenye changamoto za usafiri kama ubungo watu wengi lakini barabara zote ni za vumbi
tena kwa hali ya dharuraYeah, wilaya ya ubungo ni majanga kwa kweli. Serikali ingeona umuhimu wa kujenga miundombinu ya ubungo.
Manake ukiacha huko Sinza ambapo lami ilikuwepo mda, sehemu zingine zote hakuna lami. Goba Road, Wazo Road, morogoro Road na kinyerezi Road tu. Kuna maeneo mengi yanahitaji miundombinu. Nilienda Kijichi nikaona walivyopendezesha mji, kila mtaa ni lami.tena kwa hali ya dharura
sijui pande hizi tulikosea wapi, na mbunge tunayeManake ukiacha huko Sinza ambapo lami ilikuwepo mda, sehemu zingine zote hakuna lami. Goba Road, Wazo Road, morogoro Road na kinyerezi Road tu. Kuna maeneo mengi yanahitaji miundombinu. Nilienda Kijichi nikaona walivyopendezesha mji, kila mtaa ni lami.
Barabara ni mbovu sana hasa mvua zikinyesha kama huko Msumi ni pa ovyo sana. Mpigi na Msumi usafiri shida na maji shidana huku matajiri kupeleka magari siyo rahisi kwa sababu ya ubovu wa barabara
madale-nyuki, nyuki-morocco, morocco msasani. La nne lipi ndugu muongo!Hili swala wahusika wapo humu tunaomba walifanyie kazi. Fikiria watu wanaoishi maeneo ya Goba akitaka kwenda msasani anatumia magari matatu. Yani goba makumbusho, makumbusho morocco, afu ndo wapate la kwenda msasani. Kwa wanaoishi madale ndo wanatumia magari manne kabisa
1 na 2 Muhimu sana maana watu wanaenda kuunganisha safari Azania au Tegeta kwa ndevu, hvyo kupata gari ya moja kwa moja itakua poaHabari,
Jiji la Dar es salaam linakuwa na kutanuka kwa kasi sana. Lakini kuna maeneo yamefikiwa na barabara lakini hakuna huduma za usafiri wa Umma kuyafikia maeneo hayo.
Nimewahi kupendekeza ruti kadhaa huko awali na zikafanyiwa kazi hivyo napata hamasa ya kupendekeza nyingine kwa imani kuwa zitakuwa msaada kwa wakazi wa maeneo hayo.
1. Bunju-Kariakoo(Magari Makubwa)
2. Bunju-Posta(Magari Makubwa)
3. Madale-Makumbusho(kupitia makongo juu)
4. Kawe-Kimara(kupitia njia nne, matosa)
5. Mawasiliano-Kinyerezi/Segerea( kupitia Kimara, Bonyokwa)
6.Madele-Makumbusho(kupitia Tegeta kibaoni) hii ilikuwepo lakini sijajua kilichoiua.
Kwasababu kuna kituo kipya Mwenge kikianza baadhi ya ruti zinaweza kuanzia hapo pia. Hii itapunguza usumbufu na gharama kwa wananchi.
Wazo zuri sana na litakuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa maeneo hayo, Ila kuna changamoto za aina mbili hapo, ya kwanza ni ubovu wa hizo barabara mfano wa njia nne kimara na kupitia bonyokwa,Habari,
Jiji la Dar es salaam linakuwa na kutanuka kwa kasi sana. Lakini kuna maeneo yamefikiwa na barabara lakini hakuna huduma za usafiri wa Umma kuyafikia maeneo hayo.
Nimewahi kupendekeza ruti kadhaa huko awali na zikafanyiwa kazi hivyo napata hamasa ya kupendekeza nyingine kwa imani kuwa zitakuwa msaada kwa wakazi wa maeneo hayo.
1. Bunju-Kariakoo(Magari Makubwa)
2. Bunju-Posta(Magari Makubwa)
3. Madale-Makumbusho(kupitia makongo juu)
4. Kawe-Kimara(kupitia njia nne, matosa)
5. Mawasiliano-Kinyerezi/Segerea( kupitia Kimara, Bonyokwa)
6.Madele-Makumbusho(kupitia Tegeta kibaoni) hii ilikuwepo lakini sijajua kilichoiua.
Kwasababu kuna kituo kipya Mwenge kikianza baadhi ya ruti zinaweza kuanzia hapo pia. Hii itapunguza usumbufu na gharama kwa wananchi.
Mawazo mazuri kabisa ila tatizo ni hao wenye kupanga hizo route ndiyo wanufaika wa adha mnazopata sasa, wangekuwa wanasafiri kwa usafiri wa public wangeyaona hayo matatizo siku nyingi na kuyatafutia ufumbuzi wa haraka1. Bunju-Kariakoo(Magari Makubwa)
2. Bunju-Posta(Magari Makubwa)
3. Madale-Makumbusho(kupitia makongo juu)
4. Kawe-Kimara(kupitia njia nne, matosa)
5. Mawasiliano-Kinyerezi/Segerea( kupitia Kimara, Bonyokwa)
6.Madele-Makumbusho(kupitia Tegeta kibaoni) hii ilikuwepo lakini sijajua kilichoiua.
Weka Bunju --- Kigamboni kupitia Daraja la Mwalimu Nyerere!!Habari,
Jiji la Dar es salaam linakuwa na kutanuka kwa kasi sana. Lakini kuna maeneo yamefikiwa na barabara lakini hakuna huduma za usafiri wa Umma kuyafikia maeneo hayo.
Nimewahi kupendekeza ruti kadhaa huko awali na zikafanyiwa kazi hivyo napata hamasa ya kupendekeza nyingine kwa imani kuwa zitakuwa msaada kwa wakazi wa maeneo hayo.
1. Bunju-Kariakoo(Magari Makubwa)
2. Bunju-Posta(Magari Makubwa)
3. Madale-Makumbusho(kupitia makongo juu)
4. Kawe-Kimara(kupitia njia nne, matosa)
5. Mawasiliano-Kinyerezi/Segerea( kupitia Kimara, Bonyokwa)
6.Madele-Makumbusho(kupitia Tegeta kibaoni) hii ilikuwepo lakini sijajua kilichoiua.
Kwasababu kuna kituo kipya Mwenge kikianza baadhi ya ruti zinaweza kuanzia hapo pia. Hii itapunguza usumbufu na gharama kwa wananchi.
Uko sahihi kabisa Chanika -Posta hii ianze hata kesho ziwepo tata kama 20 zitasaidia tena ziende hadi kivukoni na Chanika -Mawasiliano yani hii ianze Leo jioni ya Chanika Mbezi nayo ianze kesho asubuhiChanika mbezi nayo changamoto nyingine pia chanika posta au mnazi mmoja
Mbona hizo zipomadale-nyuki, nyuki-morocco, morocco msasani. La nne lipi ndugu muongo!
Chanika mawasiliano mbona zipo.Uko sahihi kabisa Chanika -Posta hii ianze hata kesho ziwepo tata kama 20 zitasaidia tena ziende hadi kivukoni na Chanika -Mawasiliano yani hii ianze Leo jioni ya Chanika Mbezi nayo ianze kesho asubuhi
Tegeta-Kimara via njia nne kupitia temboni njia ni nzuri kabisa.1 na 2 Muhimu sana maana watu wanaenda kuunganisha safari Azania au Tegeta kwa ndevu, hvyo kupata gari ya moja kwa moja itakua poa
Madale makumbusho zilikuwepo
Hiyo njia ya kupitia kinyerezi/ segerea bonyokwa kimara, itaua watu, kwanza jinsi ya barabara yenyewe ilivyo ina milima mikali sana haswa hiki kipande cha kujia kimara kutoka bonyokwa, magari mengi si mazima pia hata madereva ni hovyo sana wataua wao
Njia nne to kimara via matosa nayo ina milima iliyo simamia kucha sana pia barabara hii na hiyo ya kimara to bonyokwa nadhani mpaka njia panda segerea/kinyerezi ni rough road
Madale makumbusho zilikuwepo ila kazi ni asubuhi kupeleka watu na jioni kuwarudisha mchana kazi hamnapia route ya tegeta-nyuki_ mbezi ndio imeua kabisa