East African
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 704
- 995
Yani kwasababu umependekeza ndio unasema kuhamia Dodoma ni kitu rahisi na sio gumu? Hivi kwenye bajeti za wizara zote mwaka huu umesikia hata moja iliyotenga fungu la kuhamia Dodoma? Unafahamu kuna wizara nyingi wana idara ambazo kwa mwaka huu hawajapewa fedha za kuwezesha core activities? Unafahamu hata OC za wizara nyingi hazitoshi hata kulipia pango la ofisi kwa mwaka huu wa fedha Dodoma wataendaje? Wizara inayoongoza kwa kuwa na hali mbaya kifedha ni Ile iliyopo chini ya WAZIRI MKUU, nasubiri kuona muujiza gani atafanya. Maana bado watanzania wanasubiri Tanzania ya viwanda, milioni 50 kila kijiji leo tena tunaibuka na Dodoma.Suala la kuhamia Dodoma sio gumu kama watu wanavyofikiri, pamoja na changamoto zake lakini litafanya tuwe na mji mwingine mkubwa angalau wenye watu hata mili 2 sio mbaya ili kuleta uwiano fulani.
Mapendekezo yangu.
1. Zihame ofisi zote za wizara; yaani tuna wizara zipatazo 20 hivi. hivyo mawaziri, makatibu, makamishna, wakuu wa idara na vitengo mbalimbali.
2. Mahakama kuu na Mahakama ya rufaa makao yao makuu pia yaende.
3. Kuhusu ofisi za mabalozi zenyewe ziachiwe kuamua kila balozi ataamua kwenda au kubaki Dar.
3. Taasisi (parastatals) zibaki, mfano;- EWURA, TANESCO, TPA, TPDC, TIC EPZ, TRA head office, TCRA, NSSF, ATC TCAA na zingine zinaweza kubaki kwa kuwa hizi zinategemea biashara na makampuni. Madhalani TANAPA ipo Arusha kwa kuwa ndio kitovu cha utalii.
4. National housing isimamishe miradi ambayo bado haijaanza na iweke nguvu zaidi Dodoma hasa kujenga nyumba za kuishi wafanyakazi.
5. Reli ya kisasa iharakishwe Dar-Dom ili kufanya miji hii 2 mikubwa iwe na usafiri wa kuaminika. Madhalani reli ya standarge gauge ya Nairobi Mombasa itakuwa na speed ya kilometa 135 kwa saa. hivyo Dar - Dom ni kilometa 500 hivi, kwa hiyo itachukua takribani masaa yasiozidi 4. Na iwepo treni ya express Dom to Dar bila kusimama njian na iwepo kila baada ya masaa 2 na wafanyakazi wa serikali walazimike kutumia hii pindi wanapoende kikazi kati ya miji hii miwili. Mfano mhasibu anaweza Kutoka Dar saa 12 na kufika Doma saa 4 na kumaliza shughuli na saa 10 akapanda train na kurudi.
6. Uwanja wa Dodoma badala ya kuupanua huu uliopo napendekeza hizo Bil 10 zilizotengwa zianze uwanja mpya wa Kimataifa na utaongezewa fedha mwaka unaofuata.
Tukifanya hivi Dar itaanza kurekebishwa polepole na hata foleni itapungua sana na kupelekea biashara kukua. Pia kumbuka kuwa hata Dodoma pia itavuta wawekezaji wa viwanda na makampuni. Kumbuka kuwa viwanda vinafuata mahali penye wanunuzi wengi. Hapa nashauri viwanda viwekwe mbali na mji ili kuzuia msongamano.
Haya ni mapendekezo yangu ya awali na tunaruhusiwa kuyaboresha na kuongeza mengine mazuri.
Karibuni.
Yakifanyika haya naamini hadi mwaka 2019 tutakuwa dodoma na mji wa Dodoma utakuwa jiji zuri sana
Suala la kuhamia Dodoma sio gumu kama watu wanavyofikiri, pamoja na changamoto zake lakini litafanya tuwe na mji mwingine mkubwa angalau wenye watu hata mili 2 sio mbaya ili kuleta uwiano fulani.

Watanzania lini tutasahau ukabila? Mchagga akinufaika kuna ubaya gani? Mbona husemi waarabu na wahindi ambao baadhi yao wana 'makazi' mawili ndani na nje ya nchi.Wachagga walivyoikamata Dodoma kweli hawa watu watabakia kuwa juu. Nimekaa Dodoma biashara nyingi kubwa kubwa zinamilikiwa na hawa watu na serikali inaenda huko ndio watazidi kunufaika.
AMEN na iwe hivyoWachagga walivyoikamata Dodoma kweli hawa watu watabakia kuwa juu. Nimekaa Dodoma biashara nyingi kubwa kubwa zinamilikiwa na hawa watu na serikali inaenda huko ndio watazidi kunufaika.
Tunajadili serikali kuhamia dodoma,sio habari ya wachaga khaa!!Ni Kweli kabisa ulichosema...... Wachaga ni wengi sana Dodoma na wana miliki biashara nyingi sana kaubwa hapo Dodoma.....