Mapendekezo ya Makonda kukosa nafasi kikatiba

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Wale msio faham na msio juwa jinsi bunge linafanya kaz mnaweza kufikiri Mh Makonda ana akili sana lakin nyuma ya pazia mtakubaliana nami amechemka.
Wakuu wa mikoa sio sehemu ya bunge ila nisehem ya serikali kuu.

Kama huyu bwana alitaka kupata support asingeitaji mbwembwe nyingi kuonyesha anafanya nini ila alihitaji kwenda kwa hekima nakuongea na waziri wa sheria amfundishe nakumpa darasa.

Kwa mara nyingine mkuu anataka leta mgogoro w akikatiba kwa kupeleka mapendekezo ambayo kiuhalisia kama Spika angekuwa imara angemwambia arudi nayo Dar sema ndio vile tena...

Ila hata baada yakuyapokea hawatoweza yajadili kuepuka mgongano wa kikatiba. Rais kupitia wazir anaweza kupeleka mapebdekezo kwakuwa ana nafasi ktk bunge japo sio sehem ya bunge.

Niswala la muda ila yafuwatayo yanafurahisha ila ndipo unapojuwa Iq ya mtu kwenye handling ya issue.
 
Wale msio faham na msio juwa jinsi bunge linafanya kaz mnaweza kufikiri Mh Makonda ana akili sana lakin nyuma ya pazia mtakubaliana nami amechemka.
Wakuu wa mikoa sio sehem ya bunge ila nisehem ya serikali kuu.
Kama huyu bwana alitaka kupata support asingeitaji mbwembwe nyingi kuonyesha anafanya nini ila alihitaji kwenda kwa hekima nakuongea na waziri wa sheria amfundishe nakumpa darasa.

Kwa mara nyingine mkuu anataka leta mgogoro w akikatiba kwa kupeleka mapendekezo ambayo kiuhalisia kama Spika angekuwa imara angemwambia arudi nayo Dar sema ndio vile tena...

Ila hata baada yakuyapokea hawatoweza yajadili kuepuka mgongano wa kikatiba. Rais kupitia wazir anaweza kupeleka mapebdekezo kwakuwa ana nafasi ktk bunge japo sio sehem ya bunge.

Niswala la muda ila yafuwatayo yanafurahisha ila ndipo unapojuwa Iq ya mtu kwenye handling ya issue.
 
Mtoa uzi ulishauriana na mwanasheria ata wa first year kabla ujaachia hizi pumba humu ndani. Legislative power anayo yote makonda hata wewe ukitaka unaweza fanya ivyo.
 
We ndio mpuuzi kama kila MTU ana legislative power unayoisema !!kwa akili zako unadhani makonda ndio ana akili nyingi kupeleka mswaada kuliko Watu 60? Kazi ya Bunge ni mini kama kila MTU atapeleka mswaada??. Serikal inawakilishwa na Mawaziri so Nazi ya waziri wq sheria ni IPI??pumbaaa kabisa.
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa kukata minyororo ya kuwa mtumwa na sasa upo huru
 
MAKONDA hajawahi kufanikiwa kwa jambo lolote lile linalotakiwa kusumbua akili
Mtoa uzi ulishauriana na mwanasheria ata wa first year kabla ujaachia hizi pumba humu ndani. Legislative power anayo yote makonda hata wewe ukitaka unaweza fanya ivyo.
 
Mbona kama kuna kiroja kingine kilichonipita kuhusu huyu Mheshimiwa Daud Albert Bashite!!!
 
Mtoa uzi ulishauriana na mwanasheria ata wa first year kabla ujaachia hizi pumba humu ndani. Legislative power anayo yote makonda hata wewe ukitaka unaweza fanya ivyo.
🤣 🤣 🤣🤣ukitaka vichekesho hivi bonyeza JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom