Kwa mujibu wa rasimu ya katiba mpya Serikali ya Tanganyika itaongozwa na Gavana je wadau endapo haitabadilika mnaonaje kama Dr akagombea ugavana?
Hivi dr.slaa ana quality gani ya kuwa raisi??,,,najua sote tunajua zitto is more better than him,,tupunguze umri wa mgombea uraisi mpaka 35,then zitto awe president,,
am proud of you young man ''president zzk'
Zitto ni agent wa ccm, hafai na hatakiwi!Zitto hana sifa za kuwa president wa nchi hii kwa sasa ukilinganisha na Dr. Slaa mwenye kila sifa za kuwa PRESIDAA.
Siyo size yake!!!!! Yeye anatakiwa kuwa Rais wa nchi unajua Watanzania wana hamu sana ya kuwa na Rais wa nchi ambaye ni Presidential material? Tumekaa miaka karibu nane sasa bila kuwa na mtu wa hivyo