Hutapata wachangiaji. Wengi ni roho ya kwa nini?Vodacom Tanzania imetoa tathmini ya mapato ya na kushuhudia ongezeko la wastani wa asilimia 6 kabla ya makato ya kodi.
My Take:
Biashara zinaendelea kuimarika zikiambatana na ubunifu.
Wale waleosema biashara zinakufa walikuwa wanahesabu biashara za mafisadi ambazo hamna namna ni lazima zife tu.
is this political post? Acheni undezi wa kuleta ushabiki wa kisiasa Kila sehemuVodacom Tanzania imetoa tathmini ya mapato ya na kushuhudia ongezeko la wastani wa asilimia 6 kabla ya makato ya kodi.

sio leo na mapato hayawezi panda kwa siku mojaKwani imeanza leo?
Kuwa mzalendo tumia kiswahili. Nauliza mapato ya mafuta ya kula si yamepanda? Jibu ndio au hapana. Mapato ya sukari pia si yamepanda? Kwanini unaona tu ya VodacomPunguza Tangetiality in ideas tunapojadali hoja
Sometimes uwe unafikiria kabla ya kupost. Sababu vodacom wamepata faida haimaanishi kuwa biashara zingine zina nawiri. Alaf vodacom ni kampuni kubwa, ukiangalia biashara nyingi za kitanzania hazijafikia ukubwa wa vodacom kimapato.Vodacom Tanzania imetoa tathmini ya mapato ya na kushuhudia ongezeko la wastani wa asilimia 6 kabla ya makato ya kodi.
My Take:
Biashara zinaendelea kuimarika zikiambatana na ubunifu.
Wale waleosema biashara zinakufa walikuwa wanahesabu biashara za mafisadi ambazo hamna namna ni lazima zife tu.
Mapato ya Voda yangeshuka usingetaka kuongelea biashara nyingineSometimes uwe unafikiria kabla ya kupost. Sababu vodacom wamepata faida haimaanishi kuwa biashara zingine zina nawiri. Alaf vodacom ni kampuni kubwa, ukiangalia biashara nyingi za kitanzania hazijafikia ukubwa wa vodacom kimapato.
Ungeulizia na biashara zingine... wacha kujinga