Nina AdSense katika Blogu yangu,ila sielewi jamaa wanavyofanya. Siku hizi mapato yamepungua sana.
Views bado zipo pale pale, Mfano unakuta siku napata mpaka $0.01 na clicks zimepigwa. Sielewi hapa

Inategemea na views wametokea wap unaweza kuta umepata click nyingi lakin hela haukuna ila kuna siku unapata click chache pesa nyingi inatagemea na location ya mbonyezaji

Inatengemea na aina ya matangazo umeweka umeweka text only ama vip pia unapata visitor wangapii kwa siku?????pia toa link ya blog yako watu waone ili ttz tujue liko wap kwako